Ukishangaa ya gazeti la Tanzania Daima utastaajabu ya Fatma Karume

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Fatma karume a.k.a shangazi anasema anastaafu uwakili kwa sababu ya mahakama zetu kutokujitambua baada ya kusimamishwa uwakili nakuitwa kwenye kamati ya nidham akiwa km wakili. Naakasema haendi ili waamue wanavyoamua

Hakuna asiyejua kuwa ndg yetu fatma karume ameamua kubwaga manyanga baada serikali legelege kuwa serikali imara.

Hakuna asiyejua fatma na kundi la akina tundu lisu waliamua kutumia UWAKILI katika SIASA.

Tundu lisu na fatma karume kwanyakati tofauti wameongoza TLS kisiasa,
Leo fatma anaposema siendi kamati ya maadili nawafanye wanalofanya haina tofauti na yagazeti ka Tanzania Daima.

Tanzania daima waliandika habari za kuhamasisha maandamano wakimnukuu askofu bagonza tena front page nakwawino mwingi.

Hakika kila aliyesoma habari ile alishangaa habari km ile kuwekwa front page na ndani yagazeti lenye waandishi wazoefu wagazeti km Tanzania daima.

Kila msomaji alishangaa baada yakusoma habari ile nawengine walienda mbali sana kwa kudai waandishi wale na mhariri wao wamefanya makusudi

Nakweli baada ya mda mfupi gazeti likapigwa ban.

Kwahiyo hata fatma karume anavyodai haendi kamati ya maadili nihakika anajua ni nini kinachoenda kutokea ila kaamua kuja na drama km za gazeti la tanzania daima.

Nawashauri wanasiasa wafanye siasa km siasa, ndio maana mwl. Jk. Nyerere aliamua kuacha kazi ya ualimu nakwenda kuwa mwanasiasa.
 
umeandika kwa pupa sana nadhani kwa kufanya hivyo hawakuvunja sheria na ndo mana hawana kesi.
Hujui na hutajua,ndio maana wamefungiwa,anaepaswa kushitaki ni gazeti la Tanzania Daima kama wanahisi hawajatendewa haki,Kuna adhabu kali kuliko kufutiwa leseni?,jiulize!
 
Halafu atapost Kuwa Serikali ya Magufuli inaminya uhuru kwa kufungia mawakili
 
Pascal naona umeanza kuwa kama Aston Villa, unashuka daraja huku unajiona ukidhani ni utani!
Why and how?!.
Mimi najiona as I grow old, nabadilika na kuwa Mzalendo zaidi, wiser and see things in much broader sense. It's very unfortunately sio wengi humu sees what I see, hivyo ni kawaida.
Watu walimziea Pasco wa jf, kijana mjenga hoja shupavu asiyeogopa kitu wala mtu, lakini Paskali ni Mzee, makini, mwenye busara and walks very very careful kwenye njia ya reli!.
P
 
Why and how?!.
Mimi najiona as I grow old, nabadilika na kuwa Mzalendo zaidi, wiser and see things in much broader sense. It's very unfortunately sio wengi humu sees what I see, hivyo ni kawaida.
Watu walimziea Pasco wa jf, kijana mjenga hoja shupavu asiyeogopa kitu wala mtu, lakini Paskali ni Mzee, makini, mwenye busara and walks very very careful kwenye njia ya reli!.
P
Leo umesema ukweli ....kadri mtu anavozeeka ndio huishiwa ujasiri na woga kuongezeka!
 
Back
Top Bottom