Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Nigawie purple ya kung'aa ndo rangi niipendayo
Honestly l will be more than happy kukupa, at least iwe imetendewa happy. Let's go PM kwa arrangement.
Nigawie purple ya kung'aa ndo rangi niipendayo
Umenikumbusha nimeletewa zawadi ya dela toka UK na bro wangu, kiukweli tabasamu la Kongosho sikuliweza nikamshushua hapo hapo nikamshukuru anyway. Nimefurahia mkanda tu.
Nilivuompigia mama, akanigombeza kwa ungratefulness yangu.
Yaani linachekesha, hata siwezi livaa. My priest brother is totally tasteless. I hope hatasoma hapa maana JF anaitumia kupata habari za TZ.
ha haha ha, mie mtu akinipa zawadi natabasam na kushukuru hata kama ni mbaya kiasi gani.
Nitaenda kulilia pembeni.
Siku nyingine naweza elezea kitu nipendacho indirectly. Mtu mwingine ukimkosoa.unamkatisha tamaa, anakuwa hajiamini tena kwenye taste zako.
Hata hivyo wazo tu la kunikumbuka kwa zawadi huwa lina matter.
Very true, hii nilifundishwa na mama.
Umenikumbusha nimeletewa zawadi ya dela toka UK na bro wangu, kiukweli tabasamu la Kongosho sikuliweza nikamshushua hapo hapo nikamshukuru anyway. Nimefurahia mkanda tu.
Nilivuompigia mama, akanigombeza kwa ungratefulness yangu.
Yaani linachekesha, hata siwezi livaa. My priest brother is totally tasteless. I hope hatasoma hapa maana JF anaitumia kupata habari za TZ.
Ni kweli, ila huyo ni kaka yangu tunayefuatana so waweza ona licha ya ukaribu lkn kutaniana na kushushuana. Yeye kuwa padre haibadilishi kuwa alikuwa ananikombea wali wangu tulivyokuwa wadogo.
Ila kiukweli he is so tasteless, nguo asiniletee, zawadi zingine sawa. Lol
hahaha, ulikosea bwana. Aisee mie nashukuru kwa kila zawadi, na nakaa nazo kweli hata kama situmii. Moyo wangu unashukrani haswaa, nina viatu vililetwa toka sweden na mama wa rafiki yangu. Huwa navivaa mara moja kwa mwaka, ndani. sijawahi kuruka navyo mlango hahaha. But i feel it, kapewa shopping money na wanae na akaniwaza. It is a big thing
kuliko kuleta kitu ambacho sitakitumia ni bora asilete kabisa....Huoni atafunga milango ya kukuletea zawadi kwasababu unachagua sana??
Pokea na tabasamu
Pia usisahau kumshukuru
Utawapa wengine ndugu, yatima nk
kwa kitu kama hii ya kilevi sitapokea ntamrudisha nao na kumpa sababu za kutoaaccept hiyo giftwewe ni shehe au pastor... umeletewa kilevi kama wine... utaipokea kwa tabasamu?
Najinyonga kabsaaa
upooooooooooo......loading error.....afu akitokea msamaria wa kukata kamba ndo utamwambia mtoa zawadi kuwa zawadi yake hukuipenda lol
Jamani kuna watu hawana taste ya viatu. Kuna mtu aliwahi niletea viatu, bei kuubwa lakini nikawaza, alikuwa anamnunulia Ana Mkapa? Mie ntavaa wapi? Afu yeye anavisifiaaaa Nikashukuru tu.