Kinyau
JF-Expert Member
- Nov 24, 2006
- 924
- 732
The first thing: think of the value mtu aliyoweka kukuwazia na akatake time kukununulia kitu. Hicho chastahili asante.
Ila kuna wapenzi tu --mmekaa miaka na bado hajui size wala rangi wala preference zako na mbaya zaidi akileta atasema ooh kuna mtu alitunganganiza tununue ofisini so nikaona nikuchukulie. Hapo unakuwa ushaharibu, kwanza kibaya pili u mazingira uliyonunulia hayaonyeshi u thought of the other person.