Swali muhimu sana hili, tusije kukamuombea mtu anyakuliwe wakati ni chinjachinja huku halafu aende kwenye sherehe ya mwanakondoomawinguni upande gani, motoni au peponi? Fafanua kwanza maana nisije nikamtakia heri mwanamama ambae sitaki hata kumuona.
ThamuyaNi swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!!
1.
Popote pale as long as asiwe dunianimawinguni upande gani, motoni au peponi? Fafanua kwanza maana nisije nikamtakia heri mwanamama ambae sitaki hata kumuona.
Yule katili aliye amulu wajesho wauwe watu na yye kukimbilia ngerengereNi swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!!
1.
Watanzania wote wanahasira, haijalishi ya nini ila wote wanahasira kila Mmoja anatafuta pakuitolea 😁😁JF ya leo hii. 😁