Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,325
- 22,292
Sio Kweli mkuu,nimesoma shule ya Wasabato,wanamahubiri mengi Kuna unabii wa Daniel na ufunuo nk.Ulaji wa nguruwe
USA&UKATOLIKI(Myama)666
Siku ya Jumamosi
Ndio mafundisho yao makuu wakusanikapo.