Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko .
Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe.
MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel.
Joshua...
Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu.
Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
athari
chanya
familia
jamii
jamii na maendeleo
kanisa
kuacha
kuhamia
kuhamisha
kujutia
kwenda
maendeleo
msabato
rasmi
sababu
siwezi
ukatoliki
usabato
wangu
watoto
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.