Ukiondoa haya, hakuna usabato

Umemaliza. Uzi ufungwe
 
Kwa nini Wasabato wengine hawanywi chai ya rangi, kahawa na coca-cola??
 
Wanazingua sana hao jamaa mafundi yao ni kupinga ukatoliki kula nguruwe hata mikutano yao ya effot ndio ajenda zao kuu.
 
Chakushangaza headquarters ya Wasabato ipo Marekani hukohuko wanakosema ndio alama ya 666.Sasa kama wanaamini hivyo si wangeshaondoka wahamie kwenye nchi zingine 😆😆😆
Wana ujinga mwingi sana,
 
Ni wazinzi balaa ila hawaoni ni kosa kubwa kama kula mdudu🤣.
Wengi wanafiki na wamejawa na chuki moyoni kwa ambao sio wasali jumamos wanatamani dunia nzima wasali jumamosi kitu ambacho haitokuja tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…