Ukiona zana mfukoni kwa mmeo utafanyaje?

shost, unaonyesha jinsi gani una wivu kupita kiasi, ina maana tangu umeziona condom mpaka sasa ungekuwa bado umezimia hujazinduka , pole sana

Mueleze huyo bado hajakua. Kwa taarifa yake limjamaa lake lina mashori kibao halafu halitumii zana.
 
jamani tusikimbilie tu kuwanunulia mabox ..ulizeni matumizi yake yawezekana kuna mwanaume anachapwa nalo ama anachapwa nalo

Sasa na wewe unako elekea siko kabisa atumie kwa mwanaume??? na je kama alikuwa mme wako anatumiwa na wanaume je utajisikiaje hapo?
 
shost, unaonyesha jinsi gani una wivu kupita kiasi, ina maana tangu umeziona condom mpaka sasa ungekuwa bado umezimia hujazinduka , pole sana

joyceline ni kweli nina wivu ...ila mpendwa najaribu kuangalia kama nimezikuta hizi Condoms kwenye pakiti ya mzee ..nitachizika kwa muda huo baadae ndo nitajua nifanyeje .....
 
Mueleze huyo bado hajakua. Kwa taarifa yake limjamaa lake lina mashori kibao halafu halitumii zana.

tatizo chrispin unatetea sana uzinzi harafu wewe ....
kama anawachota mashori bila kunionyesha aendelee kivyake
 
tatizo chrispin unatetea sana uzinzi harafu wewe ....
kama anawachota mashori bila kunionyesha aendelee kivyake

Hahaha! Umeshasau ulituambia ungependa kuzaa mpaka kizazi kiishe. Unafikiri bila ngono watoto utawapataje? Hakuna asiyependa ngono, nakuapia. Hata wewe.
 
Hahaha! Umeshasau ulituambia ungependa kuzaa mpaka kizazi kiishe. Unafikiri bila ngono watoto utawapataje? Hakuna asiyependa ngono, nakuapia. Hata wewe.

naipenda sana ngono ndio lakini swala la kuzaa si nazaa na mme :)
 
Ningekuwa mwanamke ningejiuliza Je nina mapungufu gani mpaka anatoka nje? je msiridhishi? ni mvivu na lala fofo? etc.

Kama hayo nafanya nitajua basi mzee extreme la muhimu kumbe anajilinda na magonjwa mengi likiweno la kansa ya ini unaoambukizwa kwa watu wanaofanya mapenzi yasio salama.
 
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka.
Swali langu Je wewe mama au dada ukiona CONDOM mfukoni mwa suruali ya mmeo aidha wakati unafua au unapanga nguo chafu ikadondoka utafanyaje?

Una-generalize sana.Kuna masista/watawa humu JF.
kuhusu swali,mimi kwa upande wangu,nitafanya utafiti kwanza wa tabia zake.Halafu nitaenda kupima VVU kwa sababu mpaka hapo uaminifu utakuwa mashakani.kisha nitamuweka chini nimuulize anipe ukweli halisi.Na wakati nafanya hayo yote nitaendelea kumuombea kwa Mungu amsaidie abadilike kama kweli ana tabia chafu.
Kwa ufupi ni jambo baya nisilopenda linitokee.
 
ZD how are you my darling. Nimekumisi sana.
 
kuna dada mmoja alikua anamwekea mumewe condom kwenye bag kila akisafairi, jamaa siku akamuuliza mkewe akamwambia wewe ni mwanaume na huko uendako unakutana na mademu kibao na tamaa inakuwepo, so ni bora nikuweke ili usije kufa kwa ngoma kuliko kujidai hufanyi, so jamaa mkewe yupo free ili kuepusha kuambukiza ukimwi

kwa mtego huo asingenipata! hata kama ningezitumia ningezi-replace....huyo mdada ilikuwa janja yake tuu, na nina uhakika wakati mumewe akirudi hiyo safari cha kwanza kukagua ilikuwa ni zana kama zipo mahali pake. nadhani pia alikuwa anaandaa utetezi wa mbeleni endapo naye angefumwa nazo
 
Nikikushauri uachane na wachovu hunisikiagi, shauri yako.
hahahahahahaaa.You must be genius!Lakini kukurupuka ndugu yangu hakutakiwi.Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.Tunapaswa kuwa wastahimilivu.
 
hahahahahahaaa.You must be genius!Lakini kukurupuka ndugu yangu hakutakiwi.Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.Tunapaswa kuwa wastahimilivu.

Ntavumilia mpaka mwisho kwa ajili yako ziondaughter wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom