Ukiona vyaelea ujue vimeundwa..................... ..

Kaunga uko juu sana.........sikupenda kuangalia upande wa pili wa shilingi kwa sababu zilizodhahiri..........msije mkalalama ya kuwa mwamba ngoma huvutia kwake............. Kaunga

Come on; we can handle that and much more! Ngoja nyumba kubwa aje atupe ushuhuda kina dada wanavyommendea mumewe! LOL
 
Last edited by a moderator:
Kweli ukiona vyaelela ujue vimeundwa...hapo kwenye red binafsi huwa nafikiria sana halafu napotezea, naamua kusifu uumbaji. ni changamoto sana hasa kwa sisi tunaofanya kazi kwenye ofisi zenu watu wengi kwasababu kuna wa kila aina. Ni maua ya Mwenyezi Mungu acha yapendeze na kung'aa.
 
Ruta ukweli uko juu naona unashuka mistari kama vile upo ndotoni, kama mwendo utaendelea kuwa hivi naona itabidi tukupe tafu utoe albamu.
 
Kwa haya mashairi nadhani RUTA mwenyewe ndo NGOSWE..... Au haijakutokea kaka?????

NOTE: Hawa wa siku hizi hata kama wana mwenyewe huwa wanaelewa kimtindo... Jamaa tu hakutema madini stahiki.
 
mpendwa Ruta,

kwa kweli siku hizi nakuheshimu!

si kuwa huko nyuma nilikuwa sikuheshimu, la hasha. bali naaprerciate mada zako za karibuni. zimebadilika fani na pia maudhui. unaandika kishairi zaidi, lakini ujumbe mzito.

samahani, mwenzio niko shuleni na wkati huu nimebanwa sana na huwa naishia kusoma tuna na kushindwa klchangia. nisamehe sana mpendwa, ni upepo tu na utapita! na ukishapita nakuahidi kuwa nitakuwa mchangiaji mzuroi tu mpendwa.

Mungu akubariki sana

Glory to God!
 
Waambie hao, watu wanataka wadada wa ukwehe wakati hawajui kuhudumia, wenzao wanahudumia wenyewe udenda unawadondoka.
Jifunzeni kuunda vyenu msitamani vinavyoelea.
 
Lakini pia tunaambiwa ''jenga chako chamwenzio fanya mradi'', hivyo japo vimeundwa tusiogope sana maana mitaji yetu hipo hapo.
 
Lakini pia tunaambiwa ''jenga chako chamwenzio fanya mradi'', hivyo japo vimeundwa tusiogope sana maana mitaji yetu hipo hapo.

Likwanda twende polepole na vya wenyewe tusije kupotezea meno huko.............[MENTION]@Likwanda[/MENTION]
 
Waambie hao, watu wanataka wadada wa ukwehe wakati hawajui kuhudumia, wenzao wanahudumia wenyewe udenda unawadondoka.
Jifunzeni kuunda vyenu msitamani vinavyoelea.

Husninyo tuko wote hawa kazi yao ukiwafuatilia kwa karibu ni kuchafua mazingira.......tu........na baada ya hapo kuishia zao.[MENTION]@Husninyo[/MENTION]
 
mpendwa Ruta,

kwa kweli siku hizi nakuheshimu!

si kuwa huko nyuma nilikuwa sikuheshimu, la hasha. bali naaprerciate mada zako za karibuni. zimebadilika fani na pia maudhui. unaandika kishairi zaidi, lakini ujumbe mzito.

samahani, mwenzio niko shuleni na wkati huu nimebanwa sana na huwa naishia kusoma tuna na kushindwa klchangia. nisamehe sana mpendwa, ni upepo tu na utapita! na ukishapita nakuahidi kuwa nitakuwa mchangiaji mzuroi tu mpendwa.

Mungu akubariki sana

Glory to God!

Ms Judith..........pole na masomo nakumbuka nyuzi zako tamutamu ulikuwa unaniburudisha sana.................maliza masomo na karibu sana..........[MENTION]@Ms Judith[/MENTION]
 
Kwa haya mashairi nadhani RUTA mwenyewe ndo NGOSWE..... Au haijakutokea kaka?????

NOTE: Hawa wa siku hizi hata kama wana mwenyewe huwa wanaelewa kimtindo... Jamaa tu hakutema madini stahiki.

Questt umesahahu ya NGOSWE tumwachie NGOSWE..............shukrani sana kwa hizo pongezi zako.........[MENTION]@Questt[/MENTION]
 
Back
Top Bottom