Ukiona vyaelea ujue vimeundwa..................... ..

Ruta ukweli uko juu naona unashuka mistari kama vile upo ndotoni, kama mwendo utaendelea kuwa hivi naona itabidi tukupe tafu utoe albamu.

fredmlay..........album au kitabu cha mashairi ya mahaba?[MENTION]@fredmlay[/MENTION]
 
...tehee!!
ukiona vyaelea ujue ni vyepesi na vina uwazi ndani.

mpaka utakapofumaniwa ndiyo utajua kumbe siyo vyepesi hata chembe.........[MENTION]@babkey[/MENTION]
 
[h=2][/h]
dah ila wanaume penda penda sana nyie ndio maana kuna post za kutedwa kibao af hamkomi ivi kwa nn?
ummu kulthum.................sababu huzijui wewe.penye ushawishi lazima kuna kujigonga...ummu kulthum
 
Last edited by a moderator:
hivi hakuna vinavyoelea ambavyo vimejiunda?

BADILI TABIA..utaviona wapi kumbuka mwanadamu lazima alizaliwa na hivyo alilelewa kinamna hivi hawezi kuwa alijilea......BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Kweli ukiona vyaelela ujue vimeundwa...hapo kwenye red binafsi huwa nafikiria sana halafu napotezea, naamua kusifu uumbaji. ni changamoto sana hasa kwa sisi tunaofanya kazi kwenye ofisi zenu watu wengi kwasababu kuna wa kila aina. Ni maua ya Mwenyezi Mungu acha yapendeze na kung'aa.

Rogi bora nusu ya shari kulikoni shari kamili...........[MENTION]@Rogi[/MENTION]
 
Back
Top Bottom