Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 167
- 239
#Porojozabongo
"Ukiona umekaa sana, kaa vizuri."
"Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza
"Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro
"Hapana, hiyo ni ya maisha. Ukiona umekaa sana—yaani maisha yako hayatembei, kila kitu kimesimama—basi kaa vizuri, kwa maana kaa kitako ufikiri."
Mgogo akatikisa kichwa kukubali, akafungua soda.
"Unamaanisha tufikiri sababu ya kusimama?"
"Ndiyo. Maisha hayaendi? Kaa vizuri. Tafakari. Panga upya. Usikimbilie kulaumu serikali, majirani au umeibiwa nyota"
"Kwa hiyo tukae na kuchakata kichwa?"
"Hiyo ndo maana ya kaa vizuri."
"Halafu tukiona bado?"
"Simama uanze kupiga hatua. Maisha hayaendi ukiwa umekaa hovyo."