Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Sioni kama hicho kikundi kinaweza kushika nchi ...Bado wanahitaji kujitangaza zaidi kwa sasa pametulia wapambane na sera safi maana 2025 ni kama keshokutwa tu ...

Wazidi kutumia hii nafasi kupata ushawishi mkubwa kila mkoa na kanda zote hii itawaletea nguvu zaidi ila kwa ....Kundi kama vijana bodaboda kwa nyuma hapo ndo wengi wakae nao vizuri sio.

Kwa hao labda kutetea viti bungeni uwezo mkubwa wanao ila sio kushika nchi ...Bado sana wafanye dominance mda upo wa kutosha wazunguke kanda zote kujenga ushawishi.

Bila covid 19 hamna kitu hapo walahi!
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?

Mmeanza kua wehu mapema, chadema haiwezi kupewa nchi kwa karatasi za kura, mlishinda 2015 na hamkupewa hivo hamna jipya
 
Wananchi gani hawa waliyolaaniwa?(bodaboda)
Nani kakwambia bodaboda wamelaaniwa? Kazi yao ndio imelaaniwa.
Ni kama Magu, hakuna aliyesema amelaaniwa bali yale matendo yake ndio yalikuwa yamelaaniwa.
Na ndio maana alipoambiwa aache kujifananisha na Mungu haraka la sivyo atakufa na alipopuuza ilitumwa corona tuu kumfyeka na hakukuwepo wa kuzuia
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Naona hadi Slaa akili imeanza kumrudi
 
Nani kakwambia bodaboda wamelaaniwa? Kazi yao ndio imelaaniwa.
Ni kama Magu, hakuna aliyesema amelaaniwa bali yale matendo yake ndio yalikuwa yamelaaniwa.
Na ndio maana alipoambiwa aache kujifananisha na Mungu haraka la sivyo atakufa na alipopuuza ilitumwa corona tuu kumfyeka na hakukuwepo wa kuzuia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Nikiona picha hiyo najisikia NÒ ESCAPE FROM SOBIBO.

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Lema Bwana umerudi na ndoto za alinacha. Kauli yako kwa Boda Boda itakupa pigo na kizungu chako Cha kihuni "shit men". Utajua rangi halisi ya watanzania 2025
 
Nani kakwambia bodaboda wamelaaniwa? Kazi yao ndio imelaaniwa.
Ni kama Magu, hakuna aliyesema amelaaniwa bali yale matendo yake ndio yalikuwa yamelaaniwa.
Na ndio maana alipoambiwa aache kujifananisha na Mungu haraka la sivyo atakufa na alipopuuza ilitumwa corona tuu kumfyeka na hakukuwepo wa kuzuia
Mtu anayefanya kitu chenye laana anakwepaje laana na kuwa mwenye laana? Kwa mujibu wa Nabii Lema ni kwamba Bodaboda ni laana hivyo wenye kujihusisha na kuendesha bodaboda ni watu wa laana, sasa sijui unaogopa nini kunyoosha maelezo?

Magufuli mnamwita Ibilisi tena wengine wanasema ni zaidi ya Ibilisi na tunajua Ibilisi alilaaniwa na Mungu kwa kitendo alichofanya, sasa kama Magufuli alifanya matendo ya laana anakosa vp laana? Yani awe zaidi ya Ibilisi ila hana laana?
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Kulogwa? Na nani wakati wachawi wote wako CHADEMA
 
Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Historia ya huyu bwana na mikasa aliyopitia hadi akafika hapo alipo binafsi siijui.
Lakini kwa sasa amejipambanua wazi kabisa kwamba kiongozi huyo ni kwa maslahi ya nchi anayoongoza. Kwa hilo ninamkubali sana.

Ninachoweza kuchangia hapa kidogo na kumtofautisha yeye na hawa wetu hapa CHADEMA ni kwamba "Jamaa hakutekwa masaa machache akiwa njiani kuelekea huko aliko sasa.
Hii ndiyo itakayokuwa tofauti kubwa sana kati ya yeye na hawa wa hapa kwetu CHADEMA.

Ninaelewa bado kuna mawingu/moshi/mvuke tele kuiona hali halisi itakavyokuwa hapa kwetu, lakini dalili zinaonyesha mwelekeo unakokwenda sasa hivi.

Kwa hiyo ninakutahadharisha kuweka mlinganisho huo na kufikia hitimisho lolote kwa sasa.
 
Hichilema amekamatwa na kufungwa mara nyingi sana chini ya utawala wa Dikteta Lungu , mara ya mwisho alipewa uhaini pale alipokataa kupisha msafara wa Rais barabara iliyokuwa mbali na msafara huo , akatolewa jela kwa shinikizo la Wazungu kama alivyotolewa Mbowe .

Huu ndio ufanano wake na Chadema .
 
Naukubali huo "mfananisho" hadi hapo mwisho wa sentensi "...alivyotolewa Mbowe."

Baada ya "Hichilema kutolewa..." na yeye alimwagiwa maji ya barafu kumpoza? Hapo ndipo sipajui bado.
Na hapo ndipo panapoweza kuwa na tofauti kubwa kabisa kuhusu mlinganisho huo.
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Aliyekuwa kawafunga kwa hila kafaaaa k mmq
 
Naukubali huo "mfananisho" hadi hapo mwisho wa sentensi "...alivyotolewa Mbowe."

Baada ya "Hichilema kutolewa..." na yeye alimwagiwa maji ya barafu kumpoza? Hapo ndipo sipajui bado.
Na hapo ndipo panapoweza kuwa na tofauti kubwa kabisa kuhusu mlinganisho huo.
Majadiliano hayajawahi kuwa na mwisho mbaya , wala hakuna haja ya kuyaogopa
 
Back
Top Bottom