Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Magwanda mtavaa. Maandamano mtafanya. Mikutano mtafanya. Lakini kuongoza Serikali au Bunge Tukufu la nchi hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, SAHAUNI KABISA!
 
Mama ashukuriwe sana kwa kuirejesha na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi nchini.

Sasa kinacho takiwa kwa wanasiasa ni kutumia uhuru vyema kwa kuiweka Tanzania mbele sio kupandikiza chuki na kuchochea vurugu.

Wananchi tunataka kusikia siasa za maendeleo sio matusi na kejeli.
Hakujawahi kuwa na siasa za matusi kutoka opposition parties kwa TZ, Jiwe ndiyo ali-brainwash watu wake kuwa ukisemwa ukweli unaomuhusu yeye basi itafsiriwe kwamba ametukanwa kwake siasa za kistaarabu ilikuwa ni pale anaposifiwa tu yaani hata ukiwa na mtazamo tofauti naye kwenye issue yoyote hilo lilitafsiriwa kama tusi.
Those are bygones so let's get it on[emoji123][emoji123].
 
Hapo simuoni Dr. Slaa,
Maana upende usipende Dr. Slaa ndio nguzo ya chadema,
Yule ngiri traitor hafai na kumuweka hapo ni kukiweka chama rehani japo nimesikia yuko anabembeleza wampokee, wakikubali litakuwa ni kosa kubwa sana kwani msemo wa 'once bitten twice shy' huwa na maana kubwa sana.
Alikuwa chawa wa Jiwe na Sukuma gang member hivyo ni kama alikuwa part and parcel ya mauaji na atrocities vilivyofanywa na utawala wa kidikteta wa Jiwe, hana akili ndiyo maana alikuwa akitawaliwa na mkewe.
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?

Group of thugs, with little reasoning ability..!!
 
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.

View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.

Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.

Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Wote hao wamekwisha umizwa bila makosa, ya Zambia hayawezi kufanyika Tanzania kwsni hapa tayari rais amekwisha simikwa bado tu kuapishwa, wenyewe wanasema utamaduni wao ni miaka kumi!
 
Back
Top Bottom