Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

Hii dunia imejaa mamtu ya hovyo sana na yanafikiri yana mamlaka juu ya kila mtu kisa hayajamwona kwenye chaneli zao....yakiona yameshindwa yanakuona wewe ndo mwanga kumbe hata hujui kinachoendelea, yanapigana vita na mamlaka za juu kabisa.
 
Ukiona umefika stage ya kuona ufukara wako unasababishwa na panya au mijusi wenye uwezo wa kuchukuwa fedha kimuujiza basi wewe ujue ni kichaa kamili.
 
Kama huamini kuwa kuna uchawi basi hufai kuwa mkristo, mwislamu na hata Mbudha.
Vitabu vya imani hizo zimeandika neno uchawi mara nyingi, sasa wewe inaonyesha huna imani.
Huwezi kuushinda uchawi kwa kuamini kuwa haupo, never.
Huwezi kuushinda uchawi kwa kuamini kuwa haupo, never. (Huu mstari nimeupenda sana sana).
 
Hakika wewe ni mgonjwa wa akili. Kichwa chako siyo kizima hata kidogo. Litakalofuta utaona hata samani zilizopo ndani kwako zinakuibia fedha.
 
Ukiwa muombaji uchelewi kupewa notice na vizee chuma ulete vyenye nyumba
 
Sijasoma hata uzi wako! Huwa natafakari reality ya life hili sioni hata picha kamili.
Uchawi una faida au hasara ipi...
 
Huoni aibu kwa kuabudu Imani za kitumwa na kuacha dini za mababu zako, utumwa bado tu, jitambue
Ingekuwa hao Wazungu ni watu wabaya wasiofaa kuigwa basi usingeweza kuandika hapa.
Hiyo laptop, smartphone ni matokeo ya akili ya Mzungu aliyekuletea dini na elimu.
Sasa hivi hapo ulipo karibu kila kitu kilichokuzunguka ni mkono wao.
Sasa kwanini nisifuate imani zao?
 
Hata away karunguyeye
 
Hoja dhaifu
Hao viumbe uliowataja wataishi ndani ya nyumba yako kutegemea na nyumba yako namna ilivyo!
Nyumba yako ipoipo tu umeezeka na kuhamia bila finishing unategemea popo hataishi humo? nakuambia hadi nyoka utaishi nao humo! Nyumba haina sakafu mdudu tandu utamkwepa vip? juu baada ya rinta hujazba hapo popo utamkwepaje? madirisha yote yapo open tu hapo mipaka ya mtaani haitahamia humo? Skiming hakuna kwanini mijusi wasihishi humo?
OvEr
 
Mimi huwa siamini katika Uchawi!
Uko sahihi kabisa. Huwezi kuamini uchawi kama haujawahi kupata evidence ya kwamba kuna baadhi ya viumbe visivyoonekana, yaani havina miili isipokuwa roho tu, na ambavyo tunaishi navyo kwenye mazingira yetu ya kila siku na vina madhara makubwa sana kwetu. Wachawi huwa wanatumia nguvu ya viumbe hivyo kwa kushirikiana na shetani.
 
Hii dunia imejaa mamtu ya hovyo sana na yanafikiri yana mamlaka juu ya kila mtu kisa hayajamwona kwenye chaneli zao....yakiona yameshindwa yanakuona wewe ndo mwanga kumbe hata hujui kinachoendelea, yanapigana vita na mamlaka za juu kabisa.
Sure mkuu kuna mmoja alipambana akanichoka mwishowe akasema siyo Bure Mimi ni mchawi. Kumbe maombi na chumvi kila mara natumia huko nje ya nyumba na ndani pamoja na kuongea (Asante Mshana Jr kwa elimu hii ya maajabu ya Chumvi).
 
Hakika wewe ni mgonjwa wa akili. Kichwa chako siyo kizima hata kidogo. Litakalofuta utaona hata samani zilizopo ndani kwako zinakuibia fedha.
Duuhh. Ngoja nipite taratibu. Ila mambo yangu hayakuhusu. NILISEMA kilichotokea na nilichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…