Ukiona kiongozi anataka kuwafumba midomo wadau, ujuwe ni dhahiri kiongozi huyo ameishiwa maarifa au ni fisadi

Jaimee

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
2,631
1,659
Baba na mama ni viongozi wa kisiasa ngazi ya familia.

Ukiona kiongozi yeyote anataka kuwafumba midomo wadau (wanasiasa,wanafamilia,na wananchi kwa ujumla) ujuwe ni dhahiri kiongozi huyo ameishiwa maarifa au ni fisadi

Kama baba au mama huna makandokando huwezi kuogopa kuulizwa ama kukosolewa kwakuwa sisi si malaika na ndiyo maana tunakosea.

Kwahiyo tabia ya ukali ni kinga dhidi ya tabia mbovu afanyazo baba au mama au kiongozi yeyote. Tuache roho mbaya ili mambo yasije yakatugeuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom