Ukiona haya kwa mkeo kuwa dikteta haraka

Wote mpo objective aisee na ni ukweli ulio wazi. KUMBUKA kuwa wapo ambao ni simba na wamejiingiza kwa siri wakifata matakwa na dhamira zao na si MAFUNDISHO HALISI. Hivo basi kinachotakiwa ni mtu kuwa macho nao tu ILA WAPO WANAOFATA MISINGI YA IMANI INAVOSEMA. BINAFSI NINA WASIWASI NA HAO WANAOJIUNDIA MADHEHEBU KILA KUKICHA NA WANAIJIPACHIKA VYEO VIKUBWA VIKUBWA (MTUME, NABII N.K)
 
Mkuu nilikuwa nasali kwa nabii mmoja anajiita Mzee Wa yesu, Siloam alihamia rafiki yangu mmoja akaacha na kazi na sasa ni kichaaa yapata miaka miwili, rafiki yake aliyeenda nae kule nae aliugua ukichaa na baadae kafa kabisa dunian hayupo
Kk kila nikisikia habar za hili kanisa hua napata huzuni, na znasikitisha Mimi kuna ndugu yangu alitutenga familia na ukoo mzma akaacha chuo bachelor bdo mwezi tu, na kuchoma vyeti, mkewe akamwachisha kaz, hataki mawasiliano na ndugu kisa tumekua mapepo sasa na Mimi alinushawish kweli nikaona sijaielewa. sa ivi hata hatujui alipo
 
Kila anaepata pesa free mason ukiwauliza sasa hata hao freemason historia yao kama wanaijua kimyaa, wanasahau kuna secret societies nying mbaya zaid ya freemason holaaa. Freemason hawatoi kafara ila wanakubadilisha mentality yakk kwa kutumia kisoma chao, sasa ndo wanachofanya hao manabii uchwara. Most ya manabiii waliopo sasa ni freemason tena 99% ya manabii ni freemason wengi bila kujitambua
 
Kk kila nikisikia habar za hili kanisa hua napata huzuni, na znasikitisha Mimi kuna ndugu yangu alitutenga familia na ukoo mzma akaacha chuo bachelor bdo mwezi tu, na kuchoma vyeti, mkewe akamwachisha kaz, hataki mawasiliano na ndugu kisa tumekua mapepo sasa na Mimi alinushawish kweli nikaona sijaielewa. sa ivi hata hatujui alipo
Aiseee poleni sana, mkuu kamtafuteni ndg yenu maana waumin Wa hilo kanisa wanakufa kufa ovyo, tafadhali kamtafuten yasijekuwa yamemkuta makubwa na hana wakumsaidia, yaani ningekuwa nauwezo nisingeruhusu ujinga huu unaoendelea kwa kigezo cha dini,
 
Sabato kuna nafuu?
kule kuna michango mingi sana.mara zaka,sadaka,fungu la kumi,mchango wa ujenzi,mchango wa field nk nk.Jumamosi kanisani asubuhi mpaka jioni,jumatano kwaya,bila kusahau MAKAMBI wiki nzima kushinda na kukesha kanisani. we acha tu
Lakini uzuri wa sabato na roma hulazimishwi kuchanga na wala hushikwi akili

Walokole wanakushika akili unakuwa ka mjinga hujielew sijui wanatumia dawa? Maana unajikuta unatoa tuuuu
 
Lakini uzuri wa sabato na roma hulazimishwi kuchanga na wala hushikwi akili

Walokole wanakushika akili unakuwa ka mjinga hujielew sijui wanatumia dawa? Maana unajikuta unatoa tuuuu

Sabato na Roma wanagawa bahasha kwa kila muumini na bahasha ina orodha ya michango unayopaswa kutoa.Ila sabato imezidi ukijiunga lazima uulizwe mshahara wako ili wajue utatoa 10% kiasi gani.Kama mshahara ni milioni ujue laki lazima utoe la sivyo unaambiwa unamwibia bwana.Huko si kulazimishwa? vipi kulala kwenye makambi?
 
Yawezekana sijui! But mimi sipingi michango ndg ila napingwa mtu kushikwa akili mpk kuona ya duniani ni ujinga kila kitu anakabidhi huko!! Mpk ndoa inakuwa kwenye matatizo na ukiulizwa unakemea
 
Sabato na Roma wanagawa bahasha kwa kila muumini na bahasha ina orodha ya michango unayopaswa kutoa.Ila sabato imezidi ukijiunga lazima uulizwe mshahara wako ili wajue utatoa 10% kiasi gani.Kama mshahara ni milioni ujue laki lazima utoe la sivyo unaambiwa unamwibia bwana.Huko si kulazimishwa? vipi kulala kwenye makambi?
Kumtolea Mungu sio dhambi tena hasahasa zaka hiyo 10% ni sawa hata mimi natoa coz ni maagizo ya mungu! Kinachoboa ni kutekwa akili na kutoa kila kitu mpk inakufanya ufilisike
 
Binafsi nilishawai kuwa na mwanamke mlokole bila tulikuja kushindwana kwa inshu hizo hizo,kulala kwenye mikesha na kuomba omba hela za kupeleka kanisani,
 
Shetani yuko kazini!

Hamjalazimishwa kuoa WALOKOLE, nendeni Bar, casino, madanguroni na sehemu nyingine kama hizo mtapata wake muwatakao.

Tuacheni sisi tuwaoe walokole.

By the way; Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Ukiwa kahaba utapewa kahaba mwenzako.

Ukiwa mlokole utapewa mlokole ... Nk

Hivyo Mungu hawezi kumrisk mwanae, binti/kijana mlokole kwa kumpa mwenzi mpumbavu kama mtoa mada.

Utapewa mpumbavu mwenzako.

Kwa wasomaji wa BIBLIA mnakumbuka habari za wanawake wacha Mungu kama Ruthu na Abigaili? Mmesoma namna Mungu alivyowaepusha na wanaume wapumbavu na kuwapa wanaume wampendao Mungu? Boazi & Daudi?

Asomaye na Afahamu.
Mambo kama haya tunayajua sisi wenye ufahamu wa kiMungu.
 
Kanisa letu lazma taarifa ya mapato na matumizi iwekwe wazi kwa waumini na waumini wana haki ya kuhoji kila cent iliyotumika. Na kama wanakula hela viongozi basi asilimia ndogo sana ambayo hawafaidiki nayo kwa lolote.
Ndo wanakula mpendwa,kunufaika na kitu ni jinsi we unavyokitumia hata ukinunua chupa ya chai ndo umenufaika si itakufaa.
 
Walivyo wajinga wao wanapanda daladala mtumishi wa mungu anapanda hama
 
Hahaha na michango ya harmer wanatoa wao
Nakumbuka 2013 niliendaga kanisa moja hivi, mfukoni nilikuwa na 10,000 tu, na ndiyo hiyo hiyo ilikuwa akiba yangu maana hata hme sikuwa na kitu, huwezi amini mpaka ibaada inaisha nilishtukia nimebaki na 500 tu, kesho yake yaan J3 natakiwa nauli ya kufuatilia mishe zangu town, na hapo kula nilikuwa sijala, simu haina vocha hata kumbip MTU anitumie, nilichanganyikiwa na kukoma kabisa
 
Ulilogwa? Au ulitoa kwa moyo?
 
Ulilogwa? Au ulitoa kwa moyo?
Ha ha mkuu wana maneno matam acha tu, maana kikapu kinawekwa wanaitwa wale Wa buku mbili mbili kwamba ukitoa na yeye akagusa basi ukifika hme kwako Utakutana na muujiza km shida kaz basi utapigiwa sim, km Nyumba haina aman basi utaikuta, wakati huo ww unamatatizo yamekukaba basi chochote utafanya, ukijasthuka tayari unakuwa ushavhelewa
 
Hii ni ukweli kabisa mkuu,kuna rafiki yangu mke wake anasali kwa makanisa haya ya kanjanja jpili siku nzima hadi ana business card ya mchungaji.Na jamaa anaona ni sawa anamuacha mke wake aendelee na huu ujinga huu ni mwaka wa 5 wako hivyo.
 
Kama mkeo anasali kwa walokole au amehamia kusali kwa walokole ndugu yangu hakikisha unamdhibiti sana na mapema kabla hajaharibiwa asali akiwa anajitambua

Wachungaji wa Kilokole(wanajiita manabii) kwa sababu sadaka inayotolewa kanisani huwa ni ya kwao(tofauti na Roma na Sabato ambako sadaka inapelekewa uongozi wa juu)

Basi kipato cha wachungaji hawa hutegemea waumini zaidi katika utoaji wa sadaka zao.

Asilimia kubwa wamekuwa wakiwatumia wanawake kwa sababu ni wepesi kuhadaika!

Mke wako anajazwa upepo wa kiimani na kufikia kuwa na mapenzi na imani yaliyopitiliza mipaka!

Ukianza kuona mkeo anabadilika taratibu ndani maombi ya kukemea yanazidi,muda wa kanisani unazidi na matoleo yanazidi kule kanisani ndugu tangu kuwa dikteta ghafla na hata ikiwezekana mzuie kama hawez kusali kawaida tu kwa kumtegemea mungu aache tu

Ukipuuzia jiandae kwa mkeo kutumia kipato chake chote kanisani/ mkeo kutumia robo tatu ya muda wake wote kanisani( kukesha na kila weekend kushinda wakimsaidia nabii wao kazi) hapa mpaka kazi zake kama mke anasahau

Ukicheza anafikia hatua ya kuliwa kabisa!

Mara nyingi wengi wetu tumeshakutana na kesi za hivi! Mke anapeleka kila kitu kanisani vikiisha ndo anashtuka alikuwa anaibiwa!

Sijaongea hivi kuharibia wachungaji wa kilokole hapana ila na wao nawashauri waache kutumia imani kutapeli na kuvunja ndoa za watu

Tumieni imani kuokoa na kusaidia watu ili waje kuupata wokovu na sio kutumia imani kujitajirisha

Kwa nitakayemkwaza anisamehe lakini huu ndio ukweli

Nawasilisha!!

Mgombea uvccm2017

Tatizo watu waliambiwa kuwa kuna siku kutakuwa na Manabii wa uongo lakini hawasikii. Watu wanahama hama kiasi kwamba kila anayeanzisha kanisa jipya wanamfuata huko bila kufanya tathmini ya kweli. Wanachofanya hawa wanaojiita wachungaji ni kucheza na saikolojia za watu hasa akina mama na kina dada. Kazi ipo kwa hawa watu.
 
Shetani yuko kazini!

Hamjalazimishwa kuoa WALOKOLE, nendeni Bar, casino, madanguroni na sehemu nyingine kama hizo mtapata wake muwatakao.

Tuacheni sisi tuwaoe walokole.

By the way; Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Ukiwa kahaba utapewa kahaba mwenzako.

Ukiwa mlokole utapewa mlokole ... Nk

Hivyo Mungu hawezi kumrisk mwanae, binti/kijana mlokole kwa kumpa mwenzi mpumbavu kama mtoa mada.

Utapewa mpumbavu mwenzako.

Kwa wasomaji wa BIBLIA mnakumbuka habari za wanawake wacha Mungu kama Ruthu na Abigaili? Mmesoma namna Mungu alivyowaepusha na wanaume wapumbavu na kuwapa wanaume wampendao Mungu? Boazi & Daudi?

Asomaye na Afahamu.
Sio kweli. Kuwa mlokole sio guarantee ya kupata mume/ mke mwema. Maana ulokole mwingine ni wa nje, kwa ndani ni shetani wa mguu mmoja. Kama nimemuelewa vzr mleta mada anasema kwa yule ambaye ataonesha dalili za kuwa na imani iliyopitiliza, muda wote kanisan, hela yote kanisani haambiwi chochote kwa kuwa yeye anajiona ana uwezo wa kimungu ndani yake. Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu sio wa mambo yasiyo na mpangilio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom