Ukiona haya kwa mkeo kuwa dikteta haraka

Sadaka zinaenda uongozi wa juu kufanya nini? Hou uongozi wa juu unaongozwa na binadamu au Mungu? FUNGUKA AKILI WEWE HAKUNA SADAKA INAYOENDA MBINGUNI ZOTE ZINALIWA HAPA HAPA DUNIANI.
 
Ha mapovu vup? Soma ujumbe vzr acha kukurupuka kujibu!!

Bora mshinda bar hatalala huko kuliko mlokole anayeshinda mikesha na weekend anashinda kwa mchungaj kufanya kazi
WANAJIFANYA WALOKOLE ILA MATENDO YAO NI KULALA NA MANABII NA KUVUNJA NDOA ZAO WENYEWE.
watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Ni bora niwe na mke anaeshinda kanisani hata kama ni kukesha kuliko kuwa na mke anaeshinda kwnye shughuli za watu au kuwa na mke anaejua ratiba zote za jahaz modern taarabu,ni mara mia anaeenda kumlilia Mungu wake huko kuliko mke anaeshinda kwnye mabalaza ya wenzie anapiga domo. Kwhyo hata mm mke wangu akianza kwenda huko aende tu
Kila mmoja anataka mke wa hivyo hivyo kama wewe,ila sasa chunguza uone kama huko kukesha ni kweli na huko kuomba ni kweli!!!! Wengi wao kazi ni kutembea na hao manabii tu.
 
Ki ukweli hisia za kibinadamu haziepukiki na pia dhiki iliyojaa ndo kabisa inatupoteza,ukichunguza kwa makini viongozi wa dini wa sasa wapo kimaslah ndo mana iman imetoweka,kwakweli hizi sadaka siku hizi zinaliwa tu kotekote kila dini na kiladhehebu,mtu kama hujampa nafasi ya juu ya uongozi anahama kabisa nyumba ya ibada,na anapoenda anasambaza sumu maana anaona ulaji umempita.KHERI IMEKWISHA KIUKWELI WEMA WAMEPITA.
Kanisa letu lazma taarifa ya mapato na matumizi iwekwe wazi kwa waumini na waumini wana haki ya kuhoji kila cent iliyotumika. Na kama wanakula hela viongozi basi asilimia ndogo sana ambayo hawafaidiki nayo kwa lolote.
 
Sabato kuna nafuu?
kule kuna michango mingi sana.mara zaka,sadaka,fungu la kumi,mchango wa ujenzi,mchango wa field nk nk.Jumamosi kanisani asubuhi mpaka jioni,jumatano kwaya,bila kusahau MAKAMBI wiki nzima kushinda na kukesha kanisani. we acha tu
 
Ukiamua kuwa dikteta, mke ataletewa imani nyingine kuwa " usijali kuwa na imani mungu atakupa mume mwingine anaejali" alafu utashangaa mama anahamia church anakuachia Nyumba, km Uzi wa jamaa moja alituelezea humu kuwa mkewe amehamia kanisani.
 
Pamoja na yoooote hayo zaka/sadaka usiache kutoa
 
Hahaha, jana nilipita mitaa Fulani nikakuta mchungaji wa hizo "NGO's" anawahubiria waumini, mbaya zaidi waumini wenyewe ni vitoto vidogo halafu mada ilikuwa kutoa fungu la kumi! nilikuwa nimeongozana na mtu mwingine hivi: yule mwenzangu alichocomment ni kwamba: SASA HAWA WACHUNGAJI WANATAKA TUIBIWE VIHELA VYETU VYA MBOGA NA WATOTO, hawa watoto wanatoa wapi fungu la kumi la kutoa hapa kanisan! lakini linguine ambalo sijui kwanini halidhibitiwi ni hii tabia ya kufungua kanisa katikati ya makazi ya watu, wanakesha usiku kucha, wana vyombo vya muziki vinatoa sauti kali yaani ni kero
 
Sadaka zinaenda uongozi wa juu kufanya nini? Hou uongozi wa juu unaongozwa na binadamu au Mungu? FUNGUKA AKILI WEWE HAKUNA SADAKA INAYOENDA MBINGUNI ZOTE ZINALIWA HAPA HAPA DUNIANI.
Hujaelewa point yangu! jaribu kutofautisha hawa ambao wanapokea hizo sadaka na ndo mlo wao hivyo lazima atumie ushawishi wake wote ili utoe hata kama unabaki huna kitu tofaut na wale ambao sadaka zinaenda kutumika kwenye uongozi wa juu na mchungaji hahusiki nazo sana hivyo hata ushawishi wake kwazo sio mkubwa
 
Ukiamua kuwa dikteta, mke ataletewa imani nyingine kuwa " usijali kuwa na imani mungu atakupa mume mwingine anaejali" alafu utashangaa mama anahamia church anakuachia Nyumba, km Uzi wa jamaa moja alituelezea humu kuwa mkewe amehamia kanisani.
Hahahaja ndo hivyo na akihamia kanisani kule watamchuna vihela vyake weeew vikiisha wanamtelekeza unashangaa anarudi analia
 
true!!!!!!! kuna baba m1 na family yake siku kukiwa na wagen ye ndo anaombea chakula sala yake sasa anaombea adi waliokufa jinsi walivokuwa wakiishig na majiran zao huko nyuma yaan mpaka anamaliza ile sala miguu imeshachoka kusimam utakaa chiN akifumbua macho akuone ulkuw umekaa tangu awal maombi yanahamia kwako hapo na chakula mtakisahau na mikono ilishakauka zamaN.
 
Shetani yuko kazini!

Hamjalazimishwa kuoa WALOKOLE, nendeni Bar, casino, madanguroni na sehemu nyingine kama hizo mtapata wake muwatakao.

Tuacheni sisi tuwaoe walokole.

By the way; Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Ukiwa kahaba utapewa kahaba mwenzako.

Ukiwa mlokole utapewa mlokole ... Nk

Hivyo Mungu hawezi kumrisk mwanae, binti/kijana mlokole kwa kumpa mwenzi mpumbavu kama mtoa mada.

Utapewa mpumbavu mwenzako.

Kwa wasomaji wa BIBLIA mnakumbuka habari za wanawake wacha Mungu kama Ruthu na Abigaili? Mmesoma namna Mungu alivyowaepusha na wanaume wapumbavu na kuwapa wanaume wampendao Mungu? Boazi & Daudi?

Asomaye na Afahamu.
acha kutuzingua wewe bible tunasoma sana Abigail alikua mke wa ngapi wa Daud?
 
Mkuu acha tu usiseme sana, kuna imani Fulani hivi ikikuingia unatamani uwe unashinda na kulala kanisani, yaani hutaman chochotr ktk hii dunia sijui huwa wanadawa? Ilishawahi nitokea sema nilishtuka ndani ya miez miwili sitaki hata kusikia, upuuzi tu
Mkuu ulikua Pool of Siloam nn, mana wale ni noumer!
 
Wasabato sadaka hachukui mchungaji hivyo hawez kukuahawish utoe kila kitu chako

Wasabato sadaka hachukui mchungaji hivyo hawez kukuahawish utoe kila kitu chako

Sabato kuna nafuu?
kule kuna michango mingi sana.mara zaka,sadaka,fungu la kumi,mchango wa ujenzi,mchango wa field nk nk.Jumamosi kanisani asubuhi mpaka jioni,jumatano kwaya,bila kusahau MAKAMBI wiki nzima kushinda na kukesha kanisani. we acha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom