Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

TISS ni genge la majambazi. Kazi yao ni kunyang'anya hela wafanyabiashara, SO SAD!

HIVI KWELI TANZANIA KUWA NA HELA WEWE NI ADUI WA TAIFA?

Sasa mmehamia hadi kwenye mashule kama St. Jude.
 
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.

Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.

Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.

Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.

Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.

Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.

Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.

Narudia tena haya ni maoni yangu
Too coded. Na huwezi ku uncode chochote kwakua kile kiapo kinakufunga hivyo unaishia kuleta majungu tu humu...
 
Siku hizi HAKUNA usalama wa Taifa nadiriki kusema kuna VIJANA wapumbafuu tu wasiojielewa sijui wamepatikana vipi?.. Any way Wapo busy siku hizi wameongezea Jukumu la kusimamia Elimu!. kusimamia Mitihani,,Very stupid !..
 
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.

Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.

Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.

Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.

Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.

Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.

Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.

Narudia tena haya ni maoni yangu
"Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida ni kitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?"

Hii "code" inaendana sana na issue ya Mzee wa Lupaso.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.

Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.

Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.

Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.

Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.

Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.

Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.

Narudia tena haya ni maoni yangu
Mkuu ni muhimu kumfahamu adui yako wa ndani kwanza then ujue namna ya kumkabili wa nje. Kumbuka Israel au US wananchi wao wanauzalendo wa hali ya juu (ingawa nao historia inaonesha watu kazaa waliuawa kwa kunyongwa baada ya kusaliti nchi yao), hivyo kwa Tanzania acha tujijenge tuangamize kwanza mamluki ili tubaki na kizazi cha wazalendo ili tuwe kitu kimoja ktk kulinda maslahi ya nchi yetu.
 
Huwa mnawakuza sana hawa wanaoitwa sijui "usalama". - (sielewi hata maana ya "usalama" ni kitu gani) - sijui ni neno lililotoholewa ama ni kitu gani hicho kinachoitwa "usalama"?

Ujasusi wao ni duni mno. Ujasusi wa kukimbizana na akina halima mdee na Fatma karume!

Hata majasusi wa kagame ni bora mara mbili zaidi... mpaka wameweza ku infiltrate congo na kuiba madini. That is a very powerful intelligence (angalau kwa viwango vya kiafrika).

Hawa "usalama" wenu wa Danganyika Republic wao ndio wamegeuka wezi wa madini kwa kushirikiana na mabeberu. Migodi yote imekombwa na wao wapo tu miaka yote!

Huo "usalama" huwa unahusu nini haswa kama hauwezi japo kulinda utajiri wa nchi?

Kagame anakwiba madini congo anayeleta kwake, ninyi mnakwiba madini ndani mnawapa wazungu in exchange of small money in your pockets! Can you see the madness!?

Mna tofauti gani na kinjektile aliyetoa madini kwa kupewa kipande cha kioo?

Intelligence ya Tanzania bado iko chini sana. Hata mapolisi wangetosha kufanya kazi ambazo zinafanywa na intelligence agency.

Tofauti na kuilinda ccm sijui huwa wana kazi gani nyingine hawa wanaoitwa "usalama"!
Dah. Umenitoa machozi
 
Nchi zote zinazofuata mfumo wa communism/Marxism-Leninism lazima ziwe na idara za Usalama wa ndani ya nchi. Kwa mfano Ujerumani mashariki walikuwa na idara inaitwa Stasi ambayo ilikuwa na mafaili na kusikiliza mawasiliano ya simu ya kila raia.
Kwanini tunapenda kuiga yakijinga tu badala yenye tija kwaajili ya Taifa letu mpaka sasa kwenye Nchi hii ninani Threat

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.

Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.

Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.

Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.

Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.

Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.

Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.

Narudia tena haya ni maoni yangu
Wafungue vibanda vya spear za nini wakati wenyewe ndo wanakuja huku kununua spears za kimasai kama utamaduni? Yaani mmarekani atoke huko aje afungue banda la kuuza mikuki? Cmon please.usitufanye sisi hatuelewi kabisa mambo haya
 
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.

Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.

Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.

Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.

Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.

Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.

Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.

Narudia tena haya ni maoni yangu
Mkuu umeandika kwa uangalifu sana.
Ujumbe kifupi nchi yetu kwa sasa ni "police state". Iwe ni tissccm, jeshi la polisi rasmi hadi watendaji mitaani ni ubabe ubabe na dhulma.
Wengi wetu tunarundika hasira na kusubiri fursa za visasi.
 
We raia unamfunza nani kufanya kazi .ukiona nchi ipo salama jua kuna wanaume zako wanakesha wewe tulia uhudumiwe
Kuna wanaume wanashinda njaa kuhakikisha tunapeta kwenye magari ya viyoyozi.

Griiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom