Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

Kweli ijinga ni mzigo kwa kichwa,nani alikuambia adui wa nje anaweza kuingia bira kuwa na adui wa ndani?!, tena kwa taarifa yako,ukitaka kuosha kikombe cha kahawa osha ndani,sio nje,na ukitaka kumulika nyoka anzia muguuni mwako,tunaitaka idara zetu za usalama,zishughurike na hawa wanaharakati wanaojiita watetezi wa nchi kumbe vibaraka wa mabeberu,
 
Back
Top Bottom