Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,066
- 3,639
- Thread starter
-
- #61
Kwani wewe ndo umemuumba??? Mwache ajiue akakutane na aliyemuumba halafu akiulizwa atoe sababu za kijinga km hizo za mapenzi
Inaweza kuwa utoto. Inaweza kuwa hajui maana ya maisha. Nimeona dalili za ww kumuacha, lkn km umedhamiria kuoa usifanye hivyo. Hata unaowaona wanafuraha mbele yako na wamekaa kwa muda mrefu ktk ndoa kuna majaribu mengi nyuma yao. Moja ya njia sahihi ni kumtembeza kwa marafiki wako wenye ndoa zenye upendo na furaha ili ajifunze. Huko anaweza kupata hadithi za shida walizopitia. Pia ataambiwa kuwa hata walipo bado kuna karaha ktk baadhi ya nyakati ila huzivumilia zipite. Kuona na kusikia ni njia nzuri ya kijifunza. Usimwache maana utamkumbuka utakapoyaona ya firauni huko mbele. Hayo unayoyaona ni ya Musa tu kwa sasa.
iringa kujiuwa ni fasheni.
Wengine hua wanatishia hivyo hivyo kukuweka karibu, ila na wengine hua wanamaanisha kweli, tafuta mda wa kukaa nae karibu umsome vzuri,
Kama ndio wale maneno mengi............ La kufanya unalijua!!
Anatishia nyau huyo hawezi jiua, wa kujiua huwa anafanya maamuzi unastukia mtu ameshajimaliza
ndio anavyosema mkuu...maana nilimwambia bora tuachane tu.. mapenzi mateso mimi basi...nikaambiwa ukiniacha najiua