Ukiniacha najiua

na hao watu wa huko wanajiuaga kweli usifanye nae masihara we unaona kama utani lakini mwenzio yuko serious,kisheria aliyejinyonga ndio mwenye makosa na sababu ndio itakufanya wewe uwe na makosa

inamaana msababishi nae anashtakiwa na jamhuri?
 
Jitahidi kumpenda tu na ridhia kwa kiasi unachoweza yale anayoyataka kwani ukija mpata asiyekupenda kadhia yake ni shuruba kuu kwako.

jitihada nimeonesha na nazidi kuonesha ila naona kwake somo gumu
 

kweli dada..yananichosha mnooo... ikifika usiku badala ya kulala kwa amani naanza waza kama kutakucha salama sababu ya vitisho vyake... imekua karaha badala ya raha... haya sio mapenzi ni mateso.. natafuta njia ya kujitoa kiustaarabu lakini nazo zinakwama... NIMEPATIKANA...NAJUTA NILIANZAJE
 
daaa kweli upele humkuta asiye na kucha aisee maaana.

maana tukipendwa shuguli tusipo pendwa na kutendwa kucha tunajaza thread za kulia lia hum nakuomba ushauri.
MKUU kama umependwa nawe penda hakika utaishi kwa raha sana aiseee.

sio kwamba simpendi.. LA, Ninampenda tena sana tu. tatizo ni kama nilivyosema juu... wivu umezidi kila usiku ni ugomvi anataka niwe natoa ripoti ya kila jambo ninalofanya kama natoa ripoti polisi... HAPANA MIMI SIWEZI..NASEMA SIWEZI
 
Kwani wewe ndo umemuumba??? Mwache ajiue akakutane na aliyemuumba halafu akiulizwa atoe sababu za kijinga km hizo za mapenzi
 

nashukuru ndugu..nitatilia maanani.
 

nimekupata...nashukuru ndugu
 
Hachelewi kujinyonga kama kiongozi wao.
Kama huna wivu jua hauna mapenzi ya dhati

kila mtu anawivu kwenye suala zima la mapenzi, sema wengine huweza kuudhibiti kwa kutokuuonesha waziwazi... nami ninao lakini ni vigumu kuuonesha kwake ndio kinachomfanya awe mbogo eti simpendi.
 

Uko right mkuu
 
Mwambie apunguze wivu bana,mpe ukweli ukitaka kuchepuka unaweza bila hata yeye ku notice,wanaume hatutawaliki labda ang'oe mgegedo awe anabaki nao yeye kwenye pochi yake
Au wewe ndo wa kwanza nini kutoa bk yake?

hapana, si wa kwanza..lakini ye anasema ananiamini na kunipenda kuliko wenzangu walopita...
 

hahaaaa umenifurahisha kujiibia simu...
 
Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke basi jali sana hisia zake.Pia naona ni mtu ambaye hajawahi kuwa ktk uhusiano na watu wengi (hajatumika kivile).

ndio najaribu itafuta historia yake ya nyuma ingawa sipendi kuijua..inanibidi niitafute sasa.
 
Inaweza kuwa utoto. Inaweza kuwa hajui maana ya maisha. Nimeona dalili za ww kumuacha, lkn km umedhamiria kuoa usifanye hivyo. Hata unaowaona wanafuraha mbele yako na wamekaa kwa muda mrefu ktk ndoa kuna majaribu mengi nyuma yao. Moja ya njia sahihi ni kumtembeza kwa marafiki wako wenye ndoa zenye upendo na furaha ili ajifunze. Huko anaweza kupata hadithi za shida walizopitia. Pia ataambiwa kuwa hata walipo bado kuna karaha ktk baadhi ya nyakati ila huzivumilia zipite. Kuona na kusikia ni njia nzuri ya kijifunza. Usimwache maana utamkumbuka utakapoyaona ya firauni huko mbele. Hayo unayoyaona ni ya Musa tu kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…