daaa kweli upele humkuta asiye na kucha aisee maaana.
maana tukipendwa shuguli tusipo pendwa na kutendwa kucha tunajaza thread za kulia lia hum nakuomba ushauri.
MKUU kama umependwa nawe penda hakika utaishi kwa raha sana aiseee.
Wana MMU..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi.
Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi.
Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO.
Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi?
kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda?
Ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa.
SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba....
sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua...
Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa?
Aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?
Mh..bby la bby, kumbe unanichezea tu halafu uniachee..hunipendi wala huna wivu na mimi. Ngoja nkutafutie mchepukoNa isitokee,kwasababu naishi kwa amani sana hivi nilivyo
Wana MMU..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi.
Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi.
Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO.
Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi?
kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda?
Ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa.
SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba....
sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua...
Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa?
Aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?
Ana miaka mingapi mkuu! au unadate na katoto hakajielewi bado!Kuna muda hata wapenzi wanahitaji kupeana space jamani kila mara bby! bby ! ni vizuri kujiongeza muda mwingine sasa naona huyo mtu akili haijakomaa
Na wewe mtishie utajiua