Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,066
- 3,639
Usiuweeee....ukiuaaaa we we utafungwa bureeeeee
kuwa na kawaida ya kumfanyia surprise, mtafute kabla hajakutafuta...
defend yourself before you are asked to...
kwa mfano, kama day 1 utakuwa uko busy sana, mtafute mapema sana lets say saa kumi na moja alfajiri, piga nae story za kimahaba for a long time kabla hujaeleza point yako, mweleze nini utafanya na saa ngapi utakuwa free..
kwa kifupi tu ni kwamba, jaribu kuwa unamueleza ratiba zako hasa unapokuwa very tight... then unapopata uhuru, mtafute kabla hajakutafuta!!!..
hapo utakuwa umepunguza lawama kwa kiaisi kikubwa sana!.. kumbuka wahehe ni wepesi wa kujiua! lol.
kwakweli nimekuelewa ndugu.. ngoja nianze na hilii sasa kwa maana akinitishia kujiua usiku huwa mrefu sana kwangu... najawa na mawazo tele.. Inafikia kipindi najuta kwanini nilianzisha uhusiano nae (mhehe)
Mwambie apunguze wivu bana,mpe ukweli ukitaka kuchepuka unaweza bila hata yeye ku notice,wanaume hatutawaliki labda ang'oe mgegedo awe anabaki nao yeye kwenye pochi yake
Au wewe ndo wa kwanza nini kutoa bk yake?
Wana MUM..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi. Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi. Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO. Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi? kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda? ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa. SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba.... sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua... Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa? aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?
aaiseeee kumbe.......Acha kumfundisha mwenzio kuchepuka
huyo rafiki yako ni member wa JF, sasa akielewa mkakati huu uliofundishwa sidhani kama itasaidia. lolkwakweli nimekuelewa ndugu.. ngoja nianze na hilii sasa kwa maana akinitishia kujiua usiku huwa mrefu sana kwangu... najawa na mawazo tele.. Inafikia kipindi najuta kwanini nilianzisha uhusiano nae (mhehe)