Hii comment ya KIBASHITE sana..Hawawezi kumwambia hata siku moja hata wafe watu mia bado watamsupport JPM sababu ni Mkatoliki mwenzetu
Kwani wa kutoa matamko lazima iwe Kanisa Katoliki, mbona kapita makanisa Kibao tu kwanini wasingemshauri ?Uongo uko wapi??Niambie pamoja na hayo yote Kiongozi yupi Mkatoliki aliyeweza kupaza sauti na kusema?? Zaidi ya Paroko wa Manzese??
Pole sana mimi ni MKATOLIKI najua ninachokiongea.Sipendi wanachofanya wanaumiza watu sana tu kwa ukimya wao
picha yake weka namsikiaga ila sijawahi kumuonaAskofu Eusibius Nzigilwa alitoa mahubiri mazuri ya kuhimiza amani na kukemea uhasama na chuki za kisiasa.
Aisee!Yaani siku akija kanisani kwetu halafu tukaambiwa tumwombee haki ya nani NATOKA NJE SIFANYI UJINGA HUO KUMUOMBEA MTU ASIE JITAMBUA BORA KUWAOMBEA WATOTO NA MAITI KULIKO HUYO MTU AJIOMBEE MWENYEWE KWA SHETANI MAANA MUNGU SIDHANI KAMA ANA MUDA MCHAFU WA KUMSIKILIZA
Ni askofu msadizi wa Kardinari Pengo.picha yake weka namsikiaga ila sijawahi kumuona
kuna wale maaskofu waliochukua hela za escroooowuu sijui kama nao wamenyooshwaKosa la JPM ni kuwanyoosha nyinyi mafisadi??
anhaa sawa mkuuView attachment 592068
Ni askofu msadizi wa Kardinari Pengo.
Kama sivyo, kwann hamkemeiHii comment ya KIBASHITE sana..
Unataka kuaminisha Umma kuwa Wakristu waKatoliki wanasapoti mauaji yanayotokea nchini?
Ni kweli mkuu, huu unafiki unaendelea na kuambukizwa kwa waumini na wananchi wote watz ni wanafiki sanaKanisa Katoliki Halina Kawaida ya kukosoa ma Rais Wakatoliki, tuheshimu utaratibu wao
Alisema lini Je unaeza weka hiyo punishment yake hapa..View attachment 592068
Ni askofu msadizi wa Kardinari Pengo.
Kama wako kimya ujue yuko kwenye mstari! Hili ndo dhehebu linaloendesha nchi, awe rais sheikh au mpagani, shot caller ni catholic church!!Mimi ni mpenzi wa siasa pengine kuliko chochote kile chini ya jua ukiacha kumwabudu Mungu
Siasa za nchi yetu tangu 2015 zimekuwa za visasi toka JPM aingie madarakani hataki kabisa kuambiwa na yeyote. Anasema yeye ndio rais penda tusipende hakuna wa kumfundisha cha kufanya
Lakini naamini Kanisa Katoliki Tanzania lina uwezo wa kumtuliza na kumrudisha katika mstari rais JPM
Ukimya wao unalipeleka taifa ili kubaya
Jitokezeni kukemea haya yanayoendelea
Nawasilisha kwa baraza la maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
TULIO WENGI TUNAMUELEWA na TUNAMSAPOTI.....MAFISADI na WAHARIFU ndio MNA HALI NGUMU....NCHI IMEKUWA SI SALAMA KWENU.... POLENI SANA CHADEMA na BAVICHWA!Mimi ni mpenzi wa siasa pengine kuliko chochote kile chini ya jua ukiacha kumwabudu Mungu
Siasa za nchi yetu tangu 2015 zimekuwa za visasi toka JPM aingie madarakani hataki kabisa kuambiwa na yeyote. Anasema yeye ndio rais penda tusipende hakuna wa kumfundisha cha kufanya
Lakini naamini Kanisa Katoliki Tanzania lina uwezo wa kumtuliza na kumrudisha katika mstari rais JPM
Ukimya wao unalipeleka taifa ili kubaya
Jitokezeni kukemea haya yanayoendelea
Nawasilisha kwa baraza la maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
Hayo ni maono yako na mawakala wengine wa ufisadi.Siasa za nchi yetu tangu 2015 zimekuwa za visasi toka JPM aingie madarakani hataki kabisa kuambiwa na yeyote.
Alizungumza ktk Radio Tumaini.Alisema lini Je unaeza weka hiyo punishment yake hapa..