Nina masikitiko makubwa sana kuwa JF sasa hivi sio tena home of GT bali kichaka cha mbumbumbu.
Ukitumia akili utagundua hakuna hoja ya udini hapo wala hakukuwa na sababu ya kuwataja Bakwata.
Kwa taarifa yako mimi ni wa jumuia hiyo ya CCT, lakini nimehoji kuwa kwa nini kwenye mitandao jumuia hizi CCT na TEC ambazo hapo awali zilikuwa mwiba sana pale utawala ufanyapo jambo linaloweza kuharibu amani na sasa wako kimya? Au kwa vile huyu wanasali naye?
Hapo udini uko wapi? Ukipitia post #11 ya mkuu
barafu utapata majibu mazuri zaidi kuwa sakata la ukimya huu wa TEC,CCT na Bakwata ni nini.
Jifunze kutafakari kwa kina hoja na usikubali moyo wako kukuongoza kuchambua jambo, utakupoteza tuu