eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Hivi unaita watu mafisadi vipi ile mahakama ya mafisadi bado haijafanya kaziHayo ni maono yako na mawakala wengine wa ufisadi.
Inakuwaje tuliaminishwa itakuwepo halafu bado mnaendelea kuita watu mafisadi