- Thread starter
- #21
Wanaifanya kazi yao. Hawapo kwa ajili ya kuhakikisha demokrasia ipo, wapo kutuongoza kiroho kwa ajili ya maisha yajayo ambayo hayapo bayana. Nisaidie andiko la kitabu chochote linalosema bila demokrasia hakuna kwenda mbinguni.
Do not be myopic, mtu hataishi kwa mkate peke yake