Walibweka walivyoambiwa Taasisi za Dini zitaanza kutozwa ushuru kwa bidhaa zinazoingiz nchini.Pale waliungana kuanzia Askofu Gwajima mpaka Mwadhama Cardinal P,hadi Muhashamu Ruwa'ichi akatoka kusema.
Ili kuwatia Pressure TEC na CCT akasema Taasisi za Afya za Dini kama BMC na KCMC ndio zinaongoza kwa wafanyakazi hewa,halafu madaktari wanaofanya hospitali hizo wanalipwa kama wale wa Muhimbili,akasema anapiga panga salary 30% na uhakiki wa wafanyakazi hewa uakondoa madaktari kadhaa walioanza kazi BMC mpaka wahakikiwe.Hapa TEC na CCT chini ya viongozi wao wakatuma ujumbe kimya kimya kuyaweka sawa,Maana ile MoU aliyosaini Edward Lowassa miaka ya 90 akiwa Waziri Ofisi ya Rais ilikuwa inaenda kufaa kifo cha mende.Hizi zote ni mbinu za kutikisa kiberiti ili watu wote hawa wakae kimya.
BAKWATA wakapigwa biti kwenye baraza la Idd,akasema atarudisha mali za Waislam,hapo hapo akatoa pesa za Hijja na kuwapa BAKWATA.Wazee wa BAKWATA waliposikia anakuja "kuwatumbua" kwa kuuza mali za waislamu,matumbo yakawa jotoooo.Nao wakakaa kimyaa,na sasa wameunda Tume ya Kuchunguza Mali za Waislam kwa "uwoga" wa Rais.Hawa nao huwezi sikia wanakosoa maana yeye alianza kuwakosoa moja kwa moja mbele ya Waislam na ukosoaji huu umetishia wengi ndani ya BAKWATA,hawawezi mkosoa.
Hii ndio njia aliyotumia yule jamaa wa Italy ambaye sijui mnumuita "Fascist" hili neno nimelisikia akilitumia sana yule Mwanasheria wa CHADEMA.Mussolin alivyoona atapingwa sana na kanisa katoliki kwa aina ya Utawala wake pale Italy,akaamua kutumia mtego kulitega kanisa...kwa sbb lilikuwa limepokwa maeneo yake,basi Mussolini akayarudisha...Wakasaini na kanisa kitu kinaitwa "
LATERAN TREATIES",hapa ndio chanzo cha Vatican kuwa nchi ndani ya nchi,hapa ndio chanzo cha Mapadre na Maaskofu wa Rome kutambuliwa kama "wafanyakazi wa serikali" na kulipwa mishahara na serikali.Hii ikafanya kanisa likae kimyaaa juu ya mambo yote ya Mussolini....Jisomee hapa chini kama sio mvivu wa kusom upate uhondo.Haya mambo hayajaanza leo,historia hujirudia
Once leader, Mussolini had to decide on whether to take on the power of the Roman Catholic Church in Italy or to work with it. He chose the latter. In this way, Italians did not have to have divided loyalties. Therefore, Mussolini worked to get the Roman Catholic Church to accept a Fascist state while he planned to offer the Roman Catholic Church what it wanted.
To gain credibility with the Roman Catholic Church, Mussolini had his children baptised in 1923. In 1926, he had a religious marriage ceremony to his wife Rachele. Their first marriage in 1915 had been a civil ceremony. Mussolini closed down many wine shops and night clubs. He also made swearing in public a crime.
One of the reasons why Mussolini pushed the idea that women should stay at home and look after the family while their husbands worked, was because this was an idea pushed by the Roman Catholic Church. Mussolini voiced his disapproval at the use of contraception – an identical stance to the Roman Catholic Church. Like the Roman Catholic Church, Mussolini also wanted divorce banned in Italy. By doing all of this, Mussolini was trying to bring the Roman Catholic Church onto his side to get its support and give added credibility to his government. However, the relationship was not always harmonious.
In particular, Mussolini and the Roman Catholic Church clashed over who should control education. To ensure that children grew up as good Fascists, Mussolini wanted the state to control this – as it did. However, the Roman Catholic Church felt that it should have this power. Both sides worked for a compromise. The attempt to settle this dispute started in 1926 and it took until 1929 for agreements to be signed. These were the Lateran Treaties. They covered areas other than education.
The Papal States (the name given to land previously owned by the Roman Catholic Church in Italy) had lost all its land in the 1870 unification of Italy. The Roman Catholic Church received £30 million in compensation in 1929 and the Church was given 109 acres in Rome to create a new papal state – the Vatican. The pope was allowed a small army, police force, post office and rail station. The pope was also given a country retreat called Castel Gandolfo.
Another part of the treaty was called the Concordat. This made the Roman Catholic faith the state religion – this was a fait accompli anyway. The pope appointed his bishops, though they had to receive the government’s blessing. Religion had to be taught in both primary and secondary schools. The Roman Catholic Church was given full control of marriage.
When these agreements were signed in 1929, Mussolini’s popularity was at its highest. He had got what he wanted – the support from the members of the public who may not have supported the Fascists but who saw the Roman Catholic Church working with the Fascist government, and that by itself created a tacit acceptance of Mussolini’s government.