Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

Napenda kutoa ushauri kwa watumishi wa umma fanyeni kazi kwa kutegemea kupata mlichokubariana na serikari vinginevyo mtanasa kwene mtego na kujikuta Mko pabaya .AHSANTEN
 
Rais ni taasisi sio mtu mmoja...mbona kilasiku tunamuona huku mitaani anachapa kazi au nyie nyumbu mnadhan rais ni magufuli tu...
 
Akiwapeleka mchaka mchaka mnalia, akiwaacha mpumue mnapiga kelele! Hamsomeki!
Binadamu ni mgumu sana na haeleweki. Anyway sasa unataka afanye nini amekwishateua wasaidizi wake. Amekwishawapa njia sasa anataka wasaidizi wa karibu zaidi na wananchi- ma RC and ma DC. Akishawapata sasa yeye ajimbiekimbie kwa nini? Nadhani nikummiss tu! Yupo ana[anga mikakati akiibuka hapo tutakuwa hatua kadhaa mbele.
 
Mshaanza ***** *****,tangu lini mtu akiwa chumba cha upasuaji anaruhusiwa kutoka,si mpaka operation iishe,kuwa mpole swahiba
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
 
Watanzania bado nawasoma, bado namsoma Rais wao na wao wenyewe pia. Nitaandika kitabu.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Yuko chuoni anajifunza kufanya kazi, akihitimu mtamuona kwenye mahafali!!!!!
 
Are you serious? Haijapita miezi 3 tangu rais azunguke nchi nzima leo unashangaa kwa nini rais hatembelei wananchi? Atatekeleza lini aliyoahidi wananchi kama kila siku atakua kiguu na njia?
 
Binafsi nilimshangaa mgombea wa CCM wakati wa kampeni alipokuwa anatumia usafiri wa barabara kwa madai eti alikuwa anataka kujionea mwenyewe shida za watanzania, matatizo ya barabara ya watanzania!. 100% sikuona hoja ya msingi na sikukubaliana na hilo; kwani amekuwa waziri takribani miaka 20 tena wizara mbali mbali ikiwamo ya miundombinu hakujua shida na kero za watanzania? Leo niko hapa kijijini sihitaji kuzunguka TZ nzima nijue vijiji vingine vina kero na shida gani kwani tatizo la hapa ndilo tatizo la vijiji vingine (similarity) tofauti ni ndogo sana.

Hivyo hivyo 100% sikubaliani na hoja yako ya kuwatembelea wananchi hususani wakati huu, ili iweje? Ni kweli Raisi hajui shida/matatizo ya wananchi? Je, shida, kero, za watanzania alizozijua hata kabla ya kampeni ambazo zilimsukuma kugombea Urais ameshazitatua? Je, shida, kero alizoambiwa na kubaini yeye mwenyewe wakati wa kampeni ameshazitatua?
Rais anapaswa kwa wakati huu kutatua kero, shida za jumla kwanza ndipo baadae aanze kutatua kero na shida specific kwa vijiji.

Hata hivyo nasikitika rais ameanza kwa kuwaongezea shida na kero wananchi kwa kuwabomolea nyumba zao badala ya kutatua kero na shida zao. Hivi alipokuwa katika jiji la Dar wakati wa kampeni aliwahiambiwa "Mheshimiwa mgombea moja kati ya kero kubwa ya jiji la Dar ni watu kufa kwa mafuriko"?. Au yuko mtazania ambaye aliwahi kumwambia kuwa "Mheshimiwa mgombea moja ya kero kubwa ya jiji la dar ni kujenga kiholela kwani sisi matajiri wa dar tunakosa kujinafasi kwa sababu ya hawa masikini"?.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Wewe unataka kumwona Rais au utatuzi wa kero?
 
Ina maana Kingunge Ngombare Mwiru alipowaambia CCM imeishiwa pumzi hamkuamini ?.
 
Back
Top Bottom