rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,419
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao