UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
sababu hua either ni maumbile madogo a mwananume hvyo kupunguza uweekano wa kuleta michubuko

au mwanamke ana maji meng so inasaidia kuondoa michubuko pia

ndo maana mnashauriwa ile tabia a kusimamia ukucha muache sijui kusugua hadi kei iwake moto

all in all tutumieni ndoms hzo hua bahat kwa wachache
 
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.
Hyo ipo kabisa,kuna jamaa kasha ua kibao lakini yeye kila akichek hana. Na akitambea na demu anaambukiza.
Hapo sijuagi ni kitu gani kwa kweli

Mkuu hii ni chai, Umechangamsha Genge tu
 

kwa hiyo mtoto anayezaliwa na hiv positive anaachishwa baada ya miezi 7
 
Usione km umemaliza,Jitahidi sana kufanya mazoezi na kula vyakula natural,itakusaidia kuepuka magonjwa hatar zaidi ya UKIMWI...kuna Sukari,Kansa,Presha,Ini etc
 
Ha ha haaa haina fomula ujue

Halafuuu taratibu kwa hawa wenye sugu au kuna ulie muanzisha mwenyewe?
[emoji23][emoji23][emoji23] et wenye sugu wapo hawa madem et wanataka bao moja udinye nusu saaa ESOPO mi kazi hizo siwezi.. dk 10 nyingi sanaa na na hakikisha naacha kudinya kabla hakujawa kukavu ni bora waseme sina nguvu za kiume
 
Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Hiyo michubuko uliipata wkt unaruka na huyu mwenye Ukimwi au?
 

Acha na mimi nikapime leo this is serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…