🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi
**** tamu mkuu, tufanyeje sasa gonjwa limekalia pabaya mkuu.Ukweli ukimwi upo na unaua na watu wanatumia Dawa kwa kasi ya 5G,Mm nipo Mbeya tumezungukwa na Mabaar na Guest ukiwa maeneo hayo angalia kwenye Madampo au seheza taka au penye uficho ni Makopo kama yote ya Dozi,
Utafiti wangu Nimetongoza wanawake wengi na kujidai nawapenda mnoo na nipo Tayari kwa Lolote ,Sasa nikiweka point ya Tupime Afya utakachojibiwa ni siri yangu Nina SMS zangu zenye majibu ya Maana ,nikiweka hapa utapenda mwenyewe ,kila kitu kinaishia hapo.
Fanyeni Utafiti hata kwenye Familia zetu Hali siyo nzuri kwa kweli.
Mbaya kuliko watu wanarahisisha mnoo
Duh, noma kweliKuishi kwa kunywa dawa kilasiku yataka moyo and bado magonjwa nyemelezi hayaishi kukuandama, hapa ninaishi na mgonjwa wa ukimwi yaani kila wiki anaumwa wanasema vidonge vishaanza kumchoka
🤣🤣🤣🤣🤣 ukimwi ungekuwa unapatikana kwenye bia ungeacha kunywa wewe?Kuwepo upo na kuua unaua na tunalijua hilo,ila tatizo ulipowekwa ndo changamoto.
siku ya kwanza kwenda kliniki akikwambia inatakiwa mwendo wote unatumia njia yoyote kumchomolea huendi,akirudi toka kliniki ukiona sura yake haina taswila nzuri jua kimewaka huko na ukiona nuru flani usoni mwake hapo jua kamshangwe.Sema wanangu tunajambishana banaa,,,ka vipi kausheni tu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupima uongo, ntapima mke akianza Clinic.
Hahahah baharia anasubiri majibu ya mke kwanza ili kujua kama kawaka au yupo safi,,🤣🤣🤣siku ya kwanza kwenda kliniki akikwambia inatakiwa mwendo wote unatumia njia yoyote kumchomolea huendi,akirudi toka kliniki ukiona sura yake haina taswila nzuri jua kimewaka huko na ukiona nuru flani usoni mwake hapo jua kamshangwe.
ndio hivyo ila sasa hivi hiyo kitu ina kizungu mkuti sana unaweza kuta mwanamke karudi kavulugwa kaambiwa kawaka na baharia anaanza hapo hapo kuchanganyikiwa lakini siku akienda anakutwa yuko poa kabisa.wengi imewakuta hii.Hahahah baharia anasubiri majibu ya mke kwanza ili kujua kama kawaka au yupo safi,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣 Baharia lazma nitoke nduki kucheki ubladi kama uko mukidee kabla sjaanza kudata. Ila mshituko mkali lazima yani.ndio hivyo ila sasa hivi hiyo kitu ina kizungu mkuti sana unaweza kuta mwanamke karudi kavulugwa kaambiwa kawaka na baharia anaanza hapo hapo kuchanganyikiwa lakini siku akienda anakutwa yuko poa kabisa.wengi imewakuta hii.
Ila bro kumbuka ukimwi hauui ila ni magonjwa nyemelezi kama maralia, TB na na mengineyoAcha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Bro hakuna familia ambayo haijaguswa na huu ugonjwasawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.
Not now days broBinafsi kinachonisikitisha ni hawa watoto wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa au mother to child kwa sababu yoyote ile.
UKIMWI hauui, kinachoua ni magonjwa nyemeleziKwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?