UKIMWI umeua wengi jamani

Wallah Mungu atunusuru tu,mi nimepoteza babangu wakubwa 4 na shangazi pamoja na binti yake upande wa bibiangu mkubwa walikua mashababi ya nguvu,mmoja aliupata kwa kumrithi mke wa kakaake naumia kila nikiwakumbuka,huu ndo ulifanya dadangu akajinyonga hosptal ya ipamba iringa alipogundulika anao na bado unaendelea kututafuna.MUNGU ATUNUSURU TU.
 
Ukimwi hamna siku hizi. Niambie toka umepata akili ulishawahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
Mzee secret temea mate chini...
Mimi wazazi wangu walifariki miaka ya 90 na hili gonjwa, mdogo wangu nae wa mwisho akafariki 2006 na hili hili gonjwa, kwenye familia tumebak wawili tu though tuko poa
Hapa ofisin nnapofanya kaz juz kati nlionyeshwa watu walioathorika ckuamini
So unaposema ukimwi haupo semea chooni mkuu!
 
watu waji epusha na tamaa za utombaji ni kubaya sana hapana dunga kila shimo tumieni kinga
 
watu waji epusha na tamaa za utombaji ni kubaya sana hapana dunga kila shimo tumieni kinga
 
Ku socialize na mtu unawezaje kupata HIV? Je angekuwa ni mwanafamilia ungemkimbia? Onyesha upendo acha vituko. Epuka matendo yanayopelekea kupata UKIMWI na siyo kumwepuka mwenye UKIMWI!
 
Ngoma ipo....sa nyie jifanyen hamwez kula pp na maganda..
 
UKIMWI upo kwa kweli na siwezi kukataa kuwa haupo

Maana nashuhudia waathirika wanavyojitungua aisee[emoji24] [emoji24] [emoji24]

Siwezi kuuza mechi peku hata siku na moja maana najua madhara yake kwa badae nitajiharishia na kukondeana tu


Condoms kwangu ni thuruhisho tosha kabisa maana ninavyopenda kugegedana dah

Kuacha ngono siwezi kabisa ila huwaga najitahidi sana kukitawala kichwa kidogo pale kinaponishawishi kuuza mechi

Ngono zembe kwangu big Nop

Napita Tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
I lost my mother,uncle and young sister because of HIV/AIDS...Kuna wakati nikifkria sana huwa nakosa kabisa hamu ya ngono kwa muda hata miezi mitatu...
 
yani kama navyowaza kichwani kwangu mkuu condom ndo silaha yangu naitumia vyema.
 
pole sana mkuu mpe Mungu maisha yako atakuba baraka zake. sio wewe peke yako mkuu wapo wemhi.
 
pole sana ndugu Mwenyezi-Mungu akufariji moyo wako
 
Acheni ngono zembe na mkiweza msubiri,Mi sasa hivi nshaamua sidate na mwanaume hadi tukapime..Maana kuna watu nliwahi kuambiwa wameathirika sikuamini..Sasa ntajuaje kwa mtu wa kukutana nae njiani??
Twende tukapime basi tena mara 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…