UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

HII NAOMBA IWEKEWE LAMINATION IBANDIKWE STAND ZOTE ZA MBASI YA MIKOANI.
 
kwa tunaowaza kurudi kijijini, wapi tuanzie?
 
Kuhusu vijana kwenda mjini na kukimbia kilimo kiukweli ni swali tata.

Katika wakulima wanaopata faida naamini hawafikii asimia kumi. Wengi wanalima kwa mazoea na kubahatisha. Kikubwa kinachwaangusha ni gharama za uzalishaji dhidi ya mapato. Lingine ni wa masoko yenye uhakika.

Solution ni kuongeza utafiti katika kilimo na masoko na kusaidia wakulima kwa namna zote. Kikiwa na faida vijana watachagua kilimo.
 
Mkuu kwani fursa zipo? Mfano upatikanaji wa ardhi yenye rutba, mkopo usio na masharti magumu, soko la uhakika, miundo mbinu kama barabara?

Binafsi nahisi serikali bado ina role kubwa ya ku-play kufanya kilimo iwe sekta inayovutia hasa kwa vijana.
 
Mada za mihemko bwana, we kula ulale bwana, kwani hii dunia ni ya nani?? Mpaka uanze kuwaonea watu huruma na ukimwi, au nguruwe,?? Kausha fanya maisha yako uzeeke na utakufa acha umbea
 
Hapo kwenye kitimoto nahisi umesema sababu imani yako hairuhusu kutumia...
Siyo kila lifanywalo na madaktari ni jambo sahihi.

Madaktari nao wanakosea sana tu kwenye mambo mengi.

Wapo madaktari wengi ambao wako obersity.

Wengi ni malaya na huku wakishuhudia madhara ya umalaya wakiwa kazini mwao,

Halafu usijilinganishe na wazee wa vijijini wale life style yao ni tofauti na walio mjini.

Wazungu nao mazoezi wao ni jambo la lazima na la kitamaduni siyo kama jamii zetu hususa za mijini.

Tutafakali zaidi.
 
Hii yaweza kuwa sababu ya wanaume wengi kutangulia kufa?

Umalaya na pombe ni tabia mbaya sana zenye kumchukiza Mungu na Wanadamu.

Tumgeukie Mungu tutubu tuache mabaya tukatende mema kwa faida yetu na vizazi vyetu.
 
Mada za mihemko bwana, we kula ulale bwana, kwani hii dunia ni ya nani?? Mpaka uanze kuwaonea watu huruma na ukimwi, au nguruwe,?? Kausha fanya maisha yako uzeeke na utakufa acha umbea

Mkuu mbona unaongea kwa hisia kali Sana,

Sema tuh jamaa kagusa angle mbaya ola amesema ukweliii...

Mitungii,mikasiii na misosiii...

Na hiyo ndiyo raha ya duniaa,gusa unasee.
 
Naomba ukae kimya na kitimoto tena ukae kimya. Udini tu unakusumbua
 
Sasa wewe ni mswahili au ni mchina au ni mzungu?

Kwanini usichague lugha moja ukaelezea kitu watu watakuelewa vizuri tu.

Au unadhani kuchanganya kizungu na kiswahili ndiyo unajiona boonge la msomi au much know?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…