Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
Kama tu status ya mgonjwa ni undictectable chances za kutoambukizwa ni 99.9%Naskia chance ni ndogo...sjui wataalam wanajua zaidi
Kama tu status ya mgonjwa ni undictectable chances za kutoambukizwa ni 99.9%Naskia chance ni ndogo...sjui wataalam wanajua zaidi
OookKama tu status ya mgonjwa ni undictectable chances za kutoambukizwa ni 99.9%
Ntu na NtuInategemea mtu na mtu
Hongereni kwa kupima kila mara ila ipo siku majibu mnayoyatafuta mtayapata. ..iwaje upime kila mara kama mtu hauchepuki?Hahahahaa! Hongera Mkuu....
Mimi huwa napima kila baada ya miezi 6 mkuu, mwezi ujao katikati ndo natakiwa kupima tena...
Kila nnapopewa majibu kuwa nipo safi, ndo mawazo ya michepuko yanaondoka!
yaapHv mtu anayetumia ARV hana uwezo wa kuambukiza?
majibu yamekuja kwa code za namba jamaa akasema niko freshUlipewa namba ?
Ukimwi is no longer a threat. Kwana unatibika , halaf wafrica tumeshakuwa na immunity ya kuishi naoHalafu tumepunguza awareness ya Ukimwi kwa kuchukulia kwamba kila mmoja ameshaufahamu.Tumejaza matangazo ya simu.Tuige mfano wa tangazo la Coca.Nani asiyeifahanu coca cola lakini kila siku inatangazwa.Swali lako kama walivyosema wengi hapo baada ya miezi mitatu dalili za kwanza zinaanza kujitokeza lakini nashauri watu wakapime hospital
Acheni kupotosha umma nyie....Ukwimi upo unatafuna watu kimya kimya tu..na hauna tiba mpaka sasaUkimwi is no longer a threat. Kwana unatibika , halaf wafrica tumeshakuwa na immunity ya kuishi nao
ni kweli mkuu sema watu wameingia ganzi tu alau nazani marekani wamepunguza misaada so hatuoni matangazo mengi ya kuzuia ukimwi kwa msaada w watu wa marekaniAcheni kupotosha umma nyie....Ukwimi upo unatafuna watu kimya kimya tu..na hauna tiba mpaka sasa
Hv mtu anayetumia ARV hana uwezo wa kuambukiza?
Ndiyo unaweza kupata, michubuko sio lazima uione kwa macho.Ivi jamam ukifanya tendo la ndoa bila kondomu kwa mda wa dakika mbili n mtu mweny ukimwi wakt mwanamke han mchukuko wowote ule n ww unao unaweza pata ukimwi
.
Hapana mkuu accurate kabisa ni week 3 mpaka 4 japo sometimes hata mbili unaweza ona vijidudu.Ukifanya tendo landoa n mtu mweny ukimwi ukaenda kupima ukimwi ndani ya siku saba (wiki) je majibu utakayo yapata n sahihi au unabidi ukaeee mda mrefu ndo ukapime
Sio sahihi, kaa siku 28....rudia baada ya miezi 3...rudia tena baada ya miezi 6 ndiyo ujihakikishie afya yako.Ukifanya tendo landoa n mtu mweny ukimwi ukaenda kupima ukimwi ndani ya siku saba (wiki) je majibu utakayo yapata n sahihi au unabidi ukaeee mda mrefu ndo ukapime