UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

Shida ni pale unapoambiwa CD4 zimeshuka na uanze kunywa dawa.ni kama hapa kwenye hizi dawa ndo penye shida maana ukianza tu kuzinywa hutakiwi kuacha,na ukiacha tu umekwenda na maji.hivi ukweli ni kwamba hata ukiwa na mafua makali bila hiyo HIV si CD4 zinashuka pia?ukiwa na Maralia imekushika si CD4 zinakua zimeshuka pia?sasa ukiwa na HIV unaambiwa pia CD4 zimeshuka kula ARVs na ukizianza tu ndo forever.maana yake ni kama hizi dawa ndo zinawamalizia watu.nawaza kwa SAUTI

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Mkuu sasa hivi wana kitu inaitwa Test and Treat. Maana yake ukigundulika mtu anao baada ya kupima hapo hapo wanamwanjilishia dawa.
 
Kauli yako ni ya kibinafsi sana, yaani unawaumiza kisaikolojia wahusika bila kufikiria jinsi wanavyojisikia.

Samahani sana kwa hilo mkuu, ila ndio ukweli halisia. Kama umewahi kwenda kupima utakuwa unaelewa unachoambiwa hasa kama ukikutwa upo salama, ukweli ni kuwa huo ugonjwa ni habari nyingine mkuu. Ni bora tukasema wazi vijana wakaelewa huu ugonjwa ni nini na wakajilinda ipasavyo.

Inasikitisha vijana hasa wa vyuo wanaogopa mimba kuliko UKIMWI, seriously!!!, na hii inachochewa na hii lugha laini ya kila siku juu ya huu ugonjwa.

Tunge deal nao kama kisonono ingekuwa safi sana.

Ila narudia kuomba radhi kama nmekugusa kwa namna yoyote inayouma mkuu, sijalenga kukukatili au kumkatili yeyote kisaikolojia, nimelenga kuokoa hawa watu zaidi ya Miliono 48 mkuu.
 
Hapa kuna ishu mbili kuu...kuna kuambukizwa na kugundua kama umeambukizwa.

Njia pekee ya kujua kama umeambukizwa ni kupima...kitaalamu inaaminika kuwa vipimo vinaweza kuonyesha umeambukizwa baada ya wiki mbili hadi sita na kuendelea.

Kitaalamu huwezi kuanzishwa dawa mpaka CD4 zako zishuke kufikia kiwango fulani. Hivyo, kama umeambukizwa na hujapima na mwili wako una uwezo wa kuhimili VVU (yaani CD4 hazishuki), basi utaishi tu kama kawaida, na siku zote utajiamini kuwa huna vvu.

Na bado Wataalamu wanashinda maabara kutafuta ni nini haswa kinatokea kwa hao wenye uwezo wa kuwahimili vvu na wakaishi bila kuathirika maisha yao yote.

Kwa hiyo mtihani hapa ni kwamba huwezi kujua kama mwili wako unao huo uwezo mpaka upime, sasa ndio ujue kumbe unaishi na vvu na hawana uwezo wa kukuangamiza...sasa ni wangapi wenye uwezo wa kuhimili matokeo ya kuwa wanaishi na vvu? kwani unaweza kupima ndio ukaathirika kisaikolojia, na mawazo ndio yakaangamiza CD4 zako badala ya VVU.

Kuwa na VVU kwenyewe sio ugonjwa, hivyo ni ngumu kutarajia kuwepo kwa dalili za moja kwa moja zitakazofanana kutoka Mtu mmoja hadi mwingine...kinachotokea ni kwa kuwa kinga inapungua mwilini basi ugonjwa wowote unaweza kukushambulia na kukupelekesha.

Kwahiyo, ukiweka mambo kwenye mizani ni kuwa faida ya kupima ni kubwa kuliko kuishi tu kutegemea zali la mentali.
 
Shida ni pale unapoambiwa CD4 zimeshuka na uanze kunywa dawa.ni kama hapa kwenye hizi dawa ndo penye shida maana ukianza tu kuzinywa hutakiwi kuacha,na ukiacha tu umekwenda na maji.hivi ukweli ni kwamba hata ukiwa na mafua makali bila hiyo HIV si CD4 zinashuka pia?ukiwa na Maralia imekushika si CD4 zinakua zimeshuka pia?sasa ukiwa na HIV unaambiwa pia CD4 zimeshuka kula ARVs na ukizianza tu ndo forever.maana yake ni kama hizi dawa ndo zinawamalizia watu.nawaza kwa SAUTI

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Skuizi hawasuburI tena CD4 zishuke. Ukishagunfulika tu unaanza kula dawa ili kufubaza virusi na kumfanya mgonjwa asiambukize
 
Duuuhhh .....sa si mateso haya ...mungu azidi kuniepusha na hili gonjwa .....ila naskia si kuna stage inategemea na cd4 za MTU.....hao wanaokunywa daily it means hali zao mbaya sana .....
Ni shida kuomba tu Mungu atuepushe Na hii kitu
 
Inategemea na immune system yako wengine wanakaa mpaka miaka 10 baada ya maambukizi ndiyo wanajulikana. Dalili pia hutofautiana, wengine hupata magonjwa nyemelezi kinga inavyozidi kushuka kama TB na pneumonia ndipo wanapojulikana wana HIV pia.
Dah...Unamaana ukiwa na miaka 70 suala la uangalifu halina haja tena?? 🙂🙂
 
Hivi nitajuaje kama nimepata mchubuko katika dushelele langu baada ya kumaliza kusex na mwanamke? Naombeni kujuzwa jamani please!
 
Kwa mtu mwembamba ni siku 10 tu kwa mtu mnene ni siku 30 tu.
 
Mkuu, acha utani,kwa hiyo ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki mind zao tu ndio zimewaponza, wakati waliteseka balaa, kwa hiyo waliumwa pasipo kuugua huo ugonjwa?
Upo ukweli ndani yake hebu Tafakari kabla hujapimwa unakuwa Njema tu lakini ukisha ambiwa una Ngoma mawazo mazito yataanza na utaanza kuongea peke barabarani kwa nini iwe Mimi na sio steveach.

hata Kula huna hamu tena. Baada ya wiki utaanza kujiangalia mkono, utaona umekonda hapo sasa mfadhaiko wa kutisha unakukuta [emoji19] Tafakari Hayo, afu nipe mwisho wa siku itakuwaje? Cha ajabu panadol unanunua halafu vile vidonge vya ishi kwa matumaini bureee...shangaa sasa Baada ya kuvimeza kwa muda magonjwa sugu yanakuingia kwa kasi, tb, magonjwa ya ngozi, Kansa, uharo..badala ya kusema Yale madonge ndio yaliyo kuadhiri utasema huu ukimwi umekosea na ukifa wataimba kafa ukimwi...[emoji15] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom