Kujifariji sio mbayaKama tu status ya mgonjwa ni undictectable chances za kutoambukizwa ni 99.9%
Kujifariji sio mbayaKama tu status ya mgonjwa ni undictectable chances za kutoambukizwa ni 99.9%
sasa mzee kama tiba yake watu waitumie ndio tupate ushuhudaBaado Kuna mipuuzi humu JF inaamini UKIMWI hauna tiba!?
Sekunde 52 tu tayari unaanza kuona dalili na kuumwa sana.
Kuwa makini, kuwa na mpenzi mmoja, subiri mpaka uoe/uolewe au tumia kondomu.
nasikia ukiwa na kisonono vinaonesha una ngomaNa mtu mwenye magonjwa ya zinaa tofauti na UKIMWI vili vipimo vinaonyesha?