UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

Sio sahihi, kaa siku 28....rudia baada ya miezi 3...rudia tena baada ya miezi 6 ndiyo ujihakikishie afya yako.

Kama unaweza nenda damu salama pale wanaweza kuona maambukizi kuanzia siku 7.

Pole mkuu inaelekea umeteleza sikupatii picha stress ulizonazo...ila usijali itakua upo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahha apan ninatak kujifunza tu leoo maan kuna watu wan bish uku kitaaaa
 
Sio sahihi, kaa siku 28....rudia baada ya miezi 3...rudia tena baada ya miezi 6 ndiyo ujihakikishie afya yako.

Kama unaweza nenda damu salama pale wanaweza kuona maambukizi kuanzia siku 7.

Pole mkuu inaelekea umeteleza sikupatii picha stress ulizonazo...ila usijali itakua upo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo damu salam ipo wapi sasa. nielekeze vizuri
 
Aaaah Weee usipotoshe huwez kuona wale virus hata ukitumia light microscope huwez kuona
Tunacho angalia ni antibody antigen reaction
Ambayo Inaonesha baada ya miez mitatu Kama mtu kapata exposure kwa mtu mwenye HIV

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Uwepo wa antibody specific for HIV virus si ndo unaonesha kuwa Virus wapo au??? Na antibody huwa zinazlishwa within hizo weeks ila kwa uhakika zaidi ni miezi mi3...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya mwezi mmoja kamili baada ya tendo la ndoa anaweza kuona kama ameambukizwa kwa kutumia vipimo vya hospitalini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom