UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

Habari wana JF, naomba kufahamu upungufu Wa kinga mwilini unachukua muda gani kuonekana? Punde baada ya kuupata? Na IPI dalili kuu kuliko zote?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki mbili tu! Lymph nodes ni lazima zipambane na foreign matters, na utajua kwa kuuma na kuvimba ingawa si kwa kiasi kikubwa!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Wiki mbili tu! Lymph nodes ni lazima zipambane na foreign matters, na utajua kwa kuuma na kuvimba ingawa si kwa kiasi kikubwa!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Lymph node huwa zinauma mkuu au sijakupata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RAGNAR LOTH,
Well said my dear, that's it!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Magic Johnson wa Los Angeles Lakers aliugua na akapona
 
Pamoja na yote na aksante kwa ufafanuzi lakini ugonjwa huu ni kama wa kimkakati tu.na karibia hii biashara itakwisha watavumbua nyingine,nahisi muda c mrefu watasema dawa imepatikana au chanjo.it is like ndui

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hapana kwa fact zako utakua unaota tu blaza UKIMWI haujaanza leo wala jana na kama ungekua na dawa ya kuponya au hiyo chanjo basi nadhan ingewekwa hadharan lakini hakuna tangu umeanza mpaka sasa unamaliza nguvu ya taifaa. Dawa ya UKIMWI ni kufanya sexually intercourse with one partner be faithful pia tumia condom na jiepushe na kuchangia zana km vitu vyenye ncha kali na nk lakini.

Pia jenga utaratbu kila baada ya miezi mitatu kufanya check up in hospital jamii kubwa ya watu huwa hawafanyi hii kitu ila ni muhmu. UKIMWI hauna dawa lakini ukifata mashart ya daktari utafurahia maisha utaiishi kwa miaka mingi sana bila ya shida. Wengi wao hufa mapema pale tu wanapoupata kwa sababu huchanganya mambo unakuta mtu anatumia doz tayari lakini bado atatumia vilevi kama pombe na vitu vingine.

Maisha dawa huw hazifany kaz vzur endapo uta take ktu kngne hali ya kuwa tayari unatumia dozi wengne hawana elimu mtu anatumia dozi wakati huo huo anakunywa maziwa fresh eti kwa ajili ya kujenga afya hapo utakua unajiuaa maziwaa tayari antidote ya poison au immune.....vtu vkoo vingi ilaa dawa n kuacha tu umalaya kw nn msioe htaa km hutak kuoa basi kuw na mahusiano na mtu mmoja tu na pia mu aminianee....ukifaa na ukimwi n hasara kw taifa lkn pia n aibu katka jamii ykoo na familia ykoo kw ujumlaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na immune system yako wengine wanakaa mpaka miaka 10 baada ya maambukizi ndiyo wanajulikana. Dalili pia hutofautiana, wengine hupata magonjwa nyemelezi kinga inavyozidi kushuka kama TB na pneumonia ndipo wanapojulikana wana HIV pia.
Niliwahi kuumwa Tb, unamaanisha baada ya muda fulan nitakuwa na AIDS ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Ukijijengea utaratibu wa kupima kila baada ya miezi 3.

Unajiweka katika nafasi nzuri kiafya, na pia kuwa muoga wa kuruka ruka hovyo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na immune system yako wengine wanakaa mpaka miaka 10 baada ya maambukizi ndiyo wanajulikana. Dalili pia hutofautiana, wengine hupata magonjwa nyemelezi kinga inavyozidi kushuka kama TB na pneumonia ndipo wanapojulikana wana HIV pia.
Ten years?! with all due respect sikubaliani na wewe
 
Hamna dalili inayoitwa wasi wasi mkuu kwenye HIV.
Nashukuru kwa post yako hapo juu. Unaweza kueleza kidogo kuhusu mahusiano ya HIV na fungus? Nimeshughulika na wagonjwa wa hili tatizo mara mbili, na mara zote tatizo la fungus limejitokeza, wa kwanza ilikuwa fungus kooni na mwingine alikuwa anapoteza kumbu kumbu kwa kipindi fulani, then madaktari wakasema tumpime CT-Scan ili kuona kama fungus imepanda kichwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom