UKIMWI bado upo mazee, usiuze mechi kijinga!

UKIMWI bado upo mazee, usiuze mechi kijinga!

Bladi bonge la ujumbe asee,

Kitaa hakusomeki na afya yenyewe ilete Magumashi nini kitatokea hapo kama siyo kurudisha jezi kwa sir God mapema kabisa..

Wana tusijisahaurishe huu msala upo na upo siriasi kinoma...

Tujilinde asee
 
Mtatuua na presha bana, ah. Siku mbili mfululizo ni thread za matukio ya kujiunga na "GRIDI YA TAIFA" mwanzo mwisho.

Hatukai kwa amani wala hatupumui. Sisi wengine tuna moyo midogo kama piritoni.
Labda wazee wa hisani ya watu wa Marekani wamekata misaada, wanatuhamasisha kupima ili NGO's zao zisije zikafa.
 
Binti sambaza umeme ka transfoma, hiii ni noma kwenye truck hadi tuzo haimtaki roma...
 
Mkuu lazima huo ujumbe umetoka kwa Mungu kupitia kwako. japo umejaribu kuuchanganya na uuni wako lakini maana haijabadilika
Asante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom