nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,792
kupima inataka ujasiri sana,,,,,...tuongee sana na watoto wetu, wa kike na wa kiume.....huu ugonjwa ni hatari sana...tukumbuke hata wasaidizi wetu wa majumbani.....kuwatahadharisha juu ya hili jinamizi....nna hakika familia chache sana hazijapitiwa na hili kitu....nyingi ni wahanga.....watu wanakazana peku peku....hakuna anaekumbuka ndomu...kweli ndomu unaondoa utamu wote ina inaepusha mengi.......takwimu zinatisha....kanda ya kusini......na ndio kuna maajenti wa wasaidizi wa majumbani mwetu,,,,kutupikia, kulea watoto......UKIMWI UPO......UNAUA...mleta siredi asante sana...



