Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Mpaka mwenyewe unaingia line na kumqoute pale nyuma aliposema "Ameen!" lol.... Nimeona dear...
Did I "like" that? Nilishindwa kugonga Like hadi nielewe maana ya Ameen, but alipo fafanua ilibidi nikagonge kule... lol
How is valentine's day treating you so far? Coz na jua kwa wengine maybe ndio inaanza sasa hivi... lol
 
Mimi just thot kakubali, but then when you said he can do better than that nili reciprocate 100% ila alivotoa jibu, mwenyewe nimeshiba...lol. Valentine has been fair so far, everything has been according to plan nipo katika the final stages za kujianda kwa ajili ya desert....:tongue:
 
Bado mnapiga porojo za ukimtaka mwanamke?

Ngoja nianzishe singles pub Dar. Hakuna kutongozana huko. Unamuona kama kakukalia sawa unaulza "kwako au kwangu'? anakujibu, mchezo kwishnei. mpaka leo mnajifanya hamjui "one night stand".

Hamjatembea tembea duniani? Sio kule wanakojiuza, humo ni mahali pa heshima na hajiuzi mtu,
 
Kumbe hujaelewa darasa. Poleeeee. These are hints to win a woman's heart, not just her body.
Bado mnapiga porojo za ukimtaka mwanamke?

Ngoja nianzishe singles pub Dar. Hakuna kutongozana huko. Unamuona kama kakukalia sawa unaulza "kwako au kwangu'? anakujibu, mchezo kwishnei. mpaka leo mnajifanya hamjui "one night stand".

Hamjatembea tembea duniani? Sio kule wanakojiuza, humo ni mahali pa heshima na hajiuzi mtu,
 
Kaka na wifi, kwanza niwashukuru for being my valentines, I lov and miss u guys all the time. I learn a lot from u, and u ar always there for me.
Kaka, ombi tu, ukimaliza part II ya wadada kutongoza wanaume, wifi naomba uandae ya part III ya wadada kutongozeka. Nadhani haswa kazi ipo kwenye part 3, what makes king' tick with the guys ambacho RR doesn't have? Manake unakuta mdada mremboooo lakini ana rafiki yake sura mbaya kama ya king', shape ya nyanya mshumaa lakini the guys sees her and not 'her'?
Haya, valentine yangu ilikuwa nzuri before u ask.
 
Bora tu usiwege unalala! Manake hapa tu una maakili hivi, ukianza kulala je?
Only the wise true masculine men knows the difference btn winning a woamn's body and a heart!
He just came in this (oh so) romantic thread anaanza kuongea mambo ya one night stand... inahu?

Sasa I demand u acknowledge the source, lol!
Na tulikubaliana tunapunguza haka katabia, mbona unakaendekeza sasa?
Done mkuu, sorry for the plagiarism
Kaka na wifi, kwanza niwashukuru for being my valentines, I lov and miss u guys all the time. I learn a lot from u, and u ar always there for me.
Kaka, ombi tu, ukimaliza part II ya wadada kutongoza wanaume, wifi naomba uandae ya part III ya wadada kutongozeka. Nadhani haswa kazi ipo kwenye part 3, what makes king' tick with the guys ambacho RR doesn't have? Manake unakuta mdada mremboooo lakini ana rafiki yake sura mbaya kama ya king', shape ya nyanya mshumaa lakini the guys sees her and not 'her'?
Haya, valentine yangu ilikuwa nzuri before u ask.
Hahahaha, mbona umenitumia kama mfano? Alter, as much as naunga mkono hoja hili nakataa kabisa kutajwa kama mfano wa mwanamke asie tongozeka!!! kabla sijaolewa nilikua natongozwa sana mjue. lol
 
well well

So far naona demand ya part 2 inaongezeka...candidates naona RR, Hus, Kipipi, King...stay tuned...lol

King'asti dear....mawazo yako yatazingatiwa...
 
...usijali kamanda,"mapenzi sawa na majani,....!"....siku maradhi ya kupendana yakikuvaa utuambie vile vile.

Kitu kingine nacho ogopa ni hiki unatakiwa kupenda mguu moja ndani mguu mmoja nje ukitendwa usiumie
 
Hiki hapa, hakuna zaidi

wallet.png
Haya. Zitakapo isha hizo na akumwage for somebody else usije na Uzi hapa. we si unataka ya kununua? Hapa tunaongea ile free and priceless.
 
Back
Top Bottom