Ukimpa mwanamke mimba, ni lazima umuoe?

Ukimpa mwanamke mimba, ni lazima umuoe?

Huo ni utoto shetani anakupitiaje mpaka kumkula usiyempenda bila condom na kupata mimba
hahahahahaha
we shemu wew naona hujawahi kupitiwa na huyu bwana shetani, we kaa vibaya akupitie uone ndo utakua
 
Unasikitisha sana wakati unampa Mimba ulimpenda sasa hivi humpendi wala huna mpango nae, kuwa na hofu ya Mungu.
 
Yan jaman kuna Watu Mungu anawaona unampa mimba mdada wa Watu afu makusudikale unamtelekeza ifike kipindi wanaume weken mipaka c kila demu unae dungana nae umwagie ndani tumieni Ata ndoms jaman
 
Yan jaman kuna Watu Mungu anawaona unampa mimba mdada wa Watu afu makusudikale unamtelekeza ifike kipindi wanaume weken mipaka c kila demu unae dungana nae umwagie ndani tumieni Ata ndoms jaman
Kumwaga nje ni ngumu coz wakati wa kukojoa ndo utamu wa mwanamume ulipo
 
Back
Top Bottom