Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,035
- 9,280
alie zindua kambi yako bado upo nae mpaka leo???Ulimpaje Mimba kama humpendi? Tupunguze ngono zembe jamani.
alie zindua kambi yako bado upo nae mpaka leo???Ulimpaje Mimba kama humpendi? Tupunguze ngono zembe jamani.
Huo ni utoto shetani anakupitiaje mpaka kumkula usiyempenda bila condom na kupata mimbaeti shetani alinipitia ndo nikajikuta imesha tokea lakin haikua dhamira yangu,(in mtoa mada"s voice)
Ww ungepewa mimba na msela alafu hataki kukuoa ungefanyaje?Pambana
Ningemrudishia mimba yakeWw ungepewa mimba na msela alafu hataki kukuoa ungefanyaje?
Kwa kumtumia sangoma auNingemrudishia mimba yake
MIMI NINGEKUA NA MAMLAKA NINGEPITISHAsilazima kuoa..
Yaaani mxieeeww kabisa,.Kama haujampenda kwa nn ulimtongoza mpaka kumkula na kumpa mimba mnakera nyie viumbe mfyuuuu
Mxxieeew mara bukuYaaani mxieeeww kabisa,.
Hahahahahaa wanapenda boga tuu UA sijui wanamuachia nani...Mxxieeew mara buku
Mxxiieew zaoHahahahahaa wanapenda boga tuu UA sijui wanamuachia nani...
Hapana baadae umuite single mom
Ndio hapoSasa mimba umpe wewe halafu amuoe nani...... Wanaume sijui mmerogwaaaa.......
Kesho kutwa mtu Kama ww unakuja kutangaza huwezi oa single maza....
Wakati ww mwenyew ndiye sababu ya hao single maza
lazima uoe huo ni uharibifu, hakwepeki, mlipokutana ulitakiwa umlinde ufanye na mpirani lazima umuoe?
Hawa watu wamelaaniwa akiiiNdio hapo
Sijui wapoje jamaniHawa watu wamelaaniwa akiii
Hujaona Uzi humu Kuna mwanamke sijui alizaa na sugu ndo anasema hivyoHaha... Wapo wapi hawa wa aina hii?