Ukimpa mwanamke mimba, ni lazima umuoe?

Ukimpa mwanamke mimba, ni lazima umuoe?

Ukimpa mimba alafu ukagundua kuwa huwezi kuja kumuoa unamuomba akurufishie mimba yako kisha kila mtu afate mambo yake
 
Lakini kumbuka ulimkula vilevile haeleweki hivi nyie viumbe mpoje jamani
Kumkula sinimekuambia unakuta ni ngunga tu..

Reality iko hivi.. Mwanaume anahitaji sehemu tu ili aweze kukwichi kwichi.. Mwanamke anahitaji sababu ili aweze kukwichi kwichi.. Ndio maana mwanaume yupo tayari mda wowote akikutana na mwanamke wenye genye anaamsha popo. Ila mwanamke kama hana genye ni ngumu sana kumkwichi.

Yani wanaume ni kama jeshi lililotayari kupambana mda wowote, sehemu yoyote. Kichwa cha chini sio mchezo
 
Kama haujampenda kwa nn ulimtongoza mpaka kumkula na kumpa mimba mnakera nyie viumbe mfyuuuu

eti shetani alinipitia ndo nikajikuta imesha tokea lakin haikua dhamira yangu,(in mtoa mada"s voice)
 
Kumkula sinimekuambia unakuta ni ngunga tu..

Reality iko hivi.. Mwanaume anahitaji sehemu tu ili aweze kukwichi kwichi.. Mwanamke anahitaji sababu ili aweze kukwichi kwichi.. Ndio maana mwanaume yupo tayari mda wowote akikutana na mwanamke wenye genye anaamsha popo. Ila mwanamke kama hana genye ni ngumu sana kumkwichi.

Yani wanaume ni kama jeshi lililotayari kupambana mda wowote, sehemu yoyote. Kichwa cha chini sio mchezo

exactly fact
 
Cndyo mkuu.. Ht mwanamke ambaye hukuwa wa ndoto zako unamkwichi as long as kakuvulia... Hapo ndipo mimba huja maana akikuvulia ht km ndom ulikua huna unachapa tu ivo ivo unaanza kujuta baadae
 
Back
Top Bottom