Ukimfumania mwanamke Mara moja piga nyama chini

Ukweli mchungu:

Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi.

Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake ataibuka na kilo za dharau na majibu ya kuudhi sana.
Hasa pale mume anapoonekana kukosea jambo dogo sana.
Sometimes mume anaweza Dhani kua labda mke yupo yupo serious sana na maisha ya kileo. Akahisi kapata mke mwenye akili ya maisha. Kumbe mwanamke yupo katika level za kumchukia mumewe na kukosa uvumilivu baada ya kufurahia dodoki LA nje.
Ikitokea mume umemfumania mke, anaweza lia ama jitetea kua hata rudia. Ila ukweli ni kua ameshanogewa. Labda mume uhame mji. Ni lazima atarudia tu.

Kwanza msamaha kwa mwanamke huyu ni kama kufanya kosa LA jinai.

You will regret.

Atakua anajisifu jinsi anavyoweza kuku control. Na chuki yake itazidi
Cha msingi. Ukimfumania mwanamke Mara moja. Mpige chini. This is under ceteris paribus (when other things remain constant).
Uzoefu unaonyesha kua mwanamke ukimfumania Mara moja, IPO Siku utamfumania tena, na tena na tena.

No matter how hard you tried to make things better.
These are women. They never change.
Uko sahihi mkuu, hili jambo umelizungumza vizuri kuna siku nilianzisha huu mjadala walipinga baadhi. Niliwaonea huruma sana.
 
Nna wasi wasi na swala wanawake kutokea ubavuni mwa mwanaume hivi unadhani sehemu gani ya mwili wa mwanaume inaweza ikawa ilihusika kumuumba mwanamke
Goti
T*ko
Kwapa
Nyinginezo...
 
Tatizo la wanaume walio wengi wanashindwa kujielewa kama mechi hawaziwezi.Na utaacha wengi kwa hicho kibamia chako. Yani niendelee tu kuwa na hamu isiyoisha. Ila pole kwa kumfumania bebe.
Mmmh! Wengine husema kumiliki Muhogo badala ya bamia siyo Tatzo bali namna inavyotumika hiyo bamia! Ikitumika vizuri bamia Mara nyingi huushinda uwezo wa muhogo , lakin bado pamoja na takwimu kama hizo bado mnasepa , ndo maana wengine wanaacha mhogo majumbani mwao na wanachepuka na Bamia na zimewatuliza kupita Maelezo! Sasa hii nayo ikoje?
Semeni ni Huruka zenu.
Ukimfumania mke wako katika mazingira yoyote na wakati huo hakukutaarifu kuwa alibakwa, katekwa ila amefika eneo LA tukio mwenyewe tena kwa kujipodoa, my bro it was planned piga chini hata kama umeoa mwezi uliopita
 
haya nakubari kishingo upande nilitaka specific answer, ila watanzania tuna sifa ya kujieleza sana ndo maana tunashindwa mihihani.

Swali linasema choose on qn wewe unajibu yote.

Basi maelezo yako yamenikumbusha nikiwa first year loh maswali yalikuwa mawili na bahati mbaya yote nilikuwa siyajui lecture aliset ambapo sikusoma.

Basi nilihesabu mabati mwisho nikawaza what should i do? Nikakumbuka topic moja nilikuwa nimeimeza balaa ikabidi nijitungie swali

nikaanza suppose it was " ratio decidendi" nikatunga swali nikashukaa na mifano yote nilikuwa nimemeza, nikakusanya.

Lecture alivyorudisha karatasi, darasa zima walipokea karatasi zao akauliza nani hakupata nikanyoosha mkono nilisikia "follow me in my office" ahaa akasema "are insane? Kimya akasema nikupe maksi ngapi " nikajibu " fanya utakavyona wewe samahani maswali yako yote sikuyaelewa. Next lesson akanitangaza class ati najitungia maswali loh nimekumbuka mbali.
Hahahahaha........hivi kumbe ndio wewe unanisumbuaga akili yangu kumbe tumesoma same same class, was so fun kwakweli.
 
Sina mda wa kumuwinda sana coz najiamin akiwiwa kunisaliti poa tu kwa sababu aamuacho mtu mzima ni sawa kwakwe na atakuwa na sababu zake za msingi za kufanya hivyo, nitajali sana uwepo wake na heshima yake kwangu, ifahamike tu kuwa kumlinda binaadam mwenzio ni kazi ngumu sana.
 
Kabisa wasamehe kama wanavosamehewa.

Wasidhani wao tu ndo wenye moyo wa nyama nasie tuna mioyo ya chuma
Mwanaume anafanya kuokoa jahazi la wanawake wengine, maana uwiano wa ME to KE hadi sasa ni 1:5 , hii ni kwasabu chance ya watoto wa kike kuzaliwa ni 95% kwa 5% ya watoto wa kiume! Kwahiyo wanaume wakikomaa na Mke tu moja kwa moja wanawake wengine wanaangamia huko nje, so ni bora kwa ME anayemridhisha Mke wake vizuri kabisa ,aendelee kutoa Huduma kwa hao wa nje pia.
 
Tatizo la wanaume walio wengi wanashindwa kujielewa kama mechi hawaziwezi.Na utaacha wengi kwa hicho kibamia chako. Yani niendelee tu kuwa na hamu isiyoisha. Ila pole kwa kumfumania bebe.
Hahahaha hamu isiyoisha makubwaaa
 
Tatizo la wanaume walio wengi wanashindwa kujielewa kama mechi hawaziwezi.Na utaacha wengi kwa hicho kibamia chako. Yani niendelee tu kuwa na hamu isiyoisha. Ila pole kwa kumfumania bebe.
Acha kuzungumza ujinga wewe, ana kibamia kwanini pesa zake unazila, ana kibamia kwanini ulikubali kuolewa naye.

Mungu kaumba warefu, wafupi, wembamba na wanene, ukiona mumeo ana kibamia jua wewe utakuwa na shi*m*, haikuwa saizi yake.

Atakapokutana na saizi yake watatulia kabisa kabisa.

Wajapan wana dushelele za kibamia, ulishawahi kuwasikia wakilalamika? Mwanamke akiwa mshenzi ni mshenzi tu hata akipata dushelele kama la punda hawatulii.
 
95% ya wanawake ni DECENT: Ukweli mwamke kufikia kucheat inachangiwa na mambo mengi machache nitayataja!
1. Ushoga wa mtaani, mkeo anaweza kuwa mwaminifu sana lakin makundi yake mtaani yatamwingiza kiulaini ikiwa kundi la marafiki zake ni michepuko dealers (mtafutie kazi mkeo kupunguza kukaa idle inasaidia kupunguza muda wa kuzogoa na mashoga)
2.Mwanaume kuwa mkolofi kupita kiasi ,yaani kukaa unamgombeza mwanamke Mara kwa Mara inafungua masikio yake kusikiliza ya wengine mtaani, so akipata mwanaume wa kumpetipeti , akitoka kwako ana hasira za ugomvi na dakika chache anakumbuka Fulani ana story tamu tamu ,lazima amtafute wachat chat kumtoa stress, IPO siku hawa wataingia katika mahusiano kiulaini, na akiingia na KUPAKULIWA FLESH KABISA basi , gombeza ugombezavyo atajifanya kondoo ili kulinda penzi la nje usijue.
3.Huruka ya Vionjo , mdada aliye na huruka moja kwa moja ni Uncontrolled, na kundi hili ni asilimia kubwa sana ya Dada zetu from Vyuo vikuu, huko wamecheza Pele za kutosha ,baada ya kuona umri unakimbia anamuoa kujivisha ngozi ya kondoo kumbe ni MBWA mwitu,(KAAMUA KUOKOKA NA MAPAMBIO JUU) ukimuona mcha mungu utadata, muone baada ya muda atakapoanza kukumbuka moments za vyuoni lazima atazirecall , reason ya kurecall ni Maumbile mbalimabli aliyokutana NAYO ni tofauti ,so size aliyonayo inaweza kupwaya na hatakwambia kitu ,kimya kimya anaanza kuzisaka mtaani. Hii mtakubaliana na Mimi wadada wengi waliolizwa na wanaume zaidi ya watatu ,yaani anaingia mahusiano anagawa PUCHI baada ya muda kutelekezwa wengi huamua kuokoka ,na hawa waliookoka ni 10% humanisha ,the rest M kuficha makucha ili ajipatie mkaka wa kumiliki then business as usual .

===================
Sisi wanaume ni 97% ni maumbile midato, kwa hiyo kuchepuka tunaongoza sana tu, sema tunawapenda na kuwaheshimu wake zetu ndo maana hatuya-expose hadharani ,na anaye-expose kwa Mke wake ajue amekosa busara na ana lake jambo la kuvunja ndoa makusudi!

Pia tunawaogopa sana wake zetu ndo maana kuchepukia huko huko ,lakin mwanamke akianza kuchepuka ana ujasiri kupita Maelezo IPO siku ATAMLETA HAWALA YAKE KITANDANI KWAKO, kisa uko safari ya kikazi Ghamasala.
 
Ni mwanaume ndiye huwa hana mishe za kumfumania mkewe.
Omba Mungu kikombe hicho kikuepuke.
Mwanamke anayejitambua na kutambua nafasi yake, hapaswi kuwa na makandokando ya pembeni.


Kikombe kibaya sana hicho

I'm not a feminist...
 
Ukimchoka mwanamke, anza kumchunguza tu daily routine zake. Hawakawiagi kujichanganya hawa watu! Baada ya kuona mpenzi wangu kazidisha sana, SANA kunipenda, nilishtuka nikaanza kumchunguza. Niligundua ananicheat; sikumchelewesha, nilipiga chini upesi. Alilia sana, sikujali maana niliamini kabisa hiyo ndo adhabu pekee iliyomstahili vinginevyo angenidharau baadae.
 
Back
Top Bottom