Ukilala usingizi mikono yako inapenda kukushikilia wapi?

Ukilala usingizi mikono yako inapenda kukushikilia wapi?

Me tangu bei ya umeme na gesi ipande nikilala mikono yangu nashikilia kichwa.
 
kuna hisia za usingiizi kule kwa wanaume ..... alafu ni raha kushika huko... na kuna baadhi ya wanawake waliolewa wakitaka kupata usingizi wanshika nyeti za waume zao .
dah! Ukiota unavuta kamba c utakata dushelelee la mume wako.
 
inasemekana kuwa wanaume waafrika wengi wakiwa usingizini mikono yao hupenda kushikilia nyeti zao, tofauti na wazungu ambao hushika kichwa, je kuna ukweli wa hoja hii? kama ni kweli ni kwa nini?

"Ukilala usingizi"...kisha ushike? Kweli umelala usingizi?
 
article-2273526-17596B72000005DC-814_634x398.jpg

Hahahahaha asante mkuu! Ndio hivo hivo kabisaa wala hujakosea
 
Bila kupendelea upande wowote huu uzi una faida gani kwa jamii. Mwenye kujua atujuze maana nimetafakari sijapata jibu.

Sidhan kama kila uzi hapa jf una faida. Nyengine just ku share vitu flan mfano wa uzi huu
 
binafs nalinda mali zangu siunajua kitaa wanga wengi.....NISHASHUHUDIA JIRAN YANGU AKILALAMIKA KAAMKA HASUBUH VYOMBO VYAKE HAVION ALIYE CHUKUA HAMJUI.
 

[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]kwa wale waliozoea kulala huku wamejifunika shuka gubigubi, mara nyingi mikono yao huwa iko kichwani na huwa wanalala style ya kujikunja kama sungura..!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]watu wa hivi huwa ni waoga sana..! mara nyingi huwa wamezoeshwa na walezi wao toka utotoni kuwa wajifunike shuka toka miguuni mpaka utosini.. japo hii formula ilikuwa inawasaidia sana enzi hizo, lakini imewaathiri mpaka kwenye utu uzima wao.. !!

[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kutokana na ukuaji wa sayansi na teknolojia, siku hizi mikono imekuwa ikiwekwa sehemu mbali mbali za mwili ikiwemo kwenye viungo vya uzazi (hao ni kwa watoto wa kiume wanaobalehe), wengine hulala huku wakinyonya vidole vyao..!
  • wengine pia hudiriki kulala huku mikono ikiwa mfukoni!!... huwezi jua! (sina uhakika sana na hili lakini wadau!!)
  • wengine wapo wanaolala huku wakiwa na ile style ya finger crossed!
  • kwa wanajeshi, maaskari polisi na walinzi mbalimbali.. nahisi hawa wanalala huku mikono ikiwa kwenye silaha zao! hivyo wadau, style ya mikono hutegemea wewe ni mtu wa aina gani, unafanya kazi gani na maisha yako ya kila siku yakoje....!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

maelezo marefu haya wewe je
 
hivi mnaikumbuka style ya utotoni,unalala kitandani asubuhi unajikuta upo chini ya kitanda.
 
Mh,nalala na pozi hili naamka na lile..hata sijui nashikaga wapi
 
Back
Top Bottom