Ukilala usingizi mikono yako inapenda kukushikilia wapi?

Ukilala usingizi mikono yako inapenda kukushikilia wapi?

kuna wengine wakilala, mikono huelekezwa kunako tigo!!
 
Popote pale unapojisikia kuweka mikono yako unaweza kuweka, ili mradi uwe comfortable ukiwa usingizini
 
Huwa nachati mpaka nachukuliwa na usingizi nikiamka bado nimeshikilia simu hio ndio kawaida yangu mim
 
Mpaka ujue umeshika wapi bado utakuwa kwenye usingizi mzito kweli?
 
leo nikilala nitaweka pembeni kioo nione usiku najishikaga wapi.
 
waafrika wengi wanwaza papuchi zaidi ndio maana wakilala hujishika nyeti zao,lakini wazungu hujishika vichwa kwakuwa muda mwingi wanawaza kukuna kichwa ili waafrika na wengine wafurahie maisha!
 
Back
Top Bottom