Ahahaha hapana kamanda. Sio mke wa mtu ndoa za kikrist hazivunjikagiSasa SI umuoe
Sasa ulipita mbonaAhahaha hapana kamanda. Sio mke wa mtu ndoa za kikrist hazivunjikagi
Yah , si kupita tu bro, kukaa hapana. Viwanja vyenye mgogoro hivyo kuwekeza hapo unatafuta hasara inayo epukikaSasa ulipita mbona
Tangu lini MTU alepoteza heshima amtunzie heshima mtu mwingine?Ikitokea umemla mke wa mtu, tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake na usimtangaze kabisa. Tafadhali nyamaza kabisa