Ukila mke wa mtu, mtunzie heshima yake

Ukila mke wa mtu, mtunzie heshima yake

Mkuu,
MALAYA hawezi kuheshimiwa.

Mtu ameshakuwa mke wa mtu, halafu bado anatoa Uchi, halafu unataka atunziwe heshima.

Heshima ipi?

Be a Man, achana na wake za watu. Ni hatari sana kwa usalama wa Afya na Marinda yako.
ni kweli,lakini kama wewe ni mwanaume na umemla mke wa mtu,usimtangaze kaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 8 iliyopita nikiwa kijana barubaru ndio naanza kuzishika Hela nilikula mke wa mwarabu Fulani.

Nilipiga kama mara 5 ivi machale yakanicheza nikajikata mtaani.

Siku hizi nakutana na mwarabu kitaa sijui anajua au hajui ila nimekaausha miaka yote.

Yule dada alikUwa na tako, hips na mweupe kama mzungu wakati ni mbantu pyua.

Niko kwenye ukijana wa makamo soon neno kijana linafutika. Nimetubu.
safi sana,ulikula ukakaa kimyaa,huo ndio ubinadamu bila kujali kuwa ulimlia mtu mkewe,lakini ulinyamaza kimyaa,unakutana na uliyemlia mke,mnasalimiana bila hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea umemla mke wa mtu, tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake na usimtangaze kabisa. Tafadhali nyamaza kabisa
na kwa nini ule mke wa mtu? Ukifumaniwa utapata kipigo cha mbwa mwizi, kwa nini unavamia ndoa ya mtu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom